Nimeona kitu kwa mke wangu ambacho nilitamani kujua kama ni kweli

Hapo sasa bora ukomae tu na kilimo cha uzeeni🤣
Kwa kweli Mkuu, mara ya mwisho nilienda kupunga upepo Kidimbwi na Bibi yenu

NIlirudi nyumbani hatuongeleshani na Bibi yenu, maana kila pisikali iliyokuwa inapita nikawa nageuza shingo kuiangalia

Nikaambiwa kuanzia sasa ni kubaki shambani tu, hakuna kukanyaga mjini 🙌
 
Sasa babu ulikuwa unaangalia nini au ndio ujuzi hauzeeki 🤣
 
Alooo
 

Attachments

  • FB_IMG_1779821348158.jpg
    61.2 KB · Views: 14
Hiyo salam ukitoa Anza nayo ni ya kibabe Sana

Eti Tundu Lissu ni....!!
 
Naomba nikuunge mkono kwenye hoja ya kwanza ya Mnyaturu Tundu lisu ndo mtetezi namba Moja wa Taifa hili Kwa sasa

Hayo mengine naomba niwaachie wabobezi zaidi yangu kwenye hayo masuala 😂😂😂😂
Hata mimi nimeishia kwenye mstari wa kwanz
 
Chawote hao😆😆naomba namba yake nimsalimie shemeji
Ulishato.mba wangapi mkuu vp unaweza nipa namba ya dada yako nione naye kama si cha wote nipe hata kama kaolewa au nipe ya mkeo au mama yako.
 

Attachments

  • FB_IMG_1779909222178.jpg
    52 KB · Views: 12
Kuna mtawa flani aliwahi kuniambia.....
Usije ukamuhurumia mwanamke wakati wa game...🤣
Kidogo nimuulize, umejuaje....😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…