Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Mwenzio nimezeeka ujue, nikitumia cha Malawi si nitaanza kumwaga lazi mbele za wajukuu 😅Omba ata bhang! Sio kiko tu😅
Fanya jioni upite kunisalimia Mjukuu 🤗
Mwenzio nimezeeka ujue, nikitumia cha Malawi si nitaanza kumwaga lazi mbele za wajukuu 😅Omba ata bhang! Sio kiko tu😅
Unatumia ukiwa pekeeako ikitoka kichwani unaenda kucheza na wajukuu zako😂Mwenzio nimezeeka ujue, nikitumia cha Malawi si nitaanza kumwaga lazi mbele za wajukuu 😅
Fanya jioni upite kunisalimia Mjukuu 🤗
Ikinilevya usishangae nikaja kuwapa stori zote za mwaka 47 hapa 🤪Unatumia ukiwa pekeeako ikitoka kichwani unaenda kucheza na wajukuu zako😂
Kweli leo ntapita babu..
HahahhaaaIkinilevya usishangae nikaja kuwapa stori zote za mwaka 47 hapa 🤪
Kuepusha hayo, ndiyo maana nimeacha kuitumia tangu nilipogonga 50
Pita baadaye nikuandalie na zawadi yako 🤗
Karibu sanaHahahhaaa
Sawa babu ntapita!
Salama sana babu sijui nyie huko na bibi?Marahaba Mkuu, habari za siku nyingi?
Ila kweli vijana hamna huruma na Wazee, unashindwa kunipasia hata loose ball moja nikumbukie enzi za mwaka 47 🤪
Mifupa siwezi kula, lakini maini naweza kupambana nayo 🤗
Huku hatujambo Mkuu, tunaendelea na shughuli zetu za kilimoSalama sana babu sijui nyie huko na bibi?
SIku hizi hakuna maini yote n mishangazi utaweza?
Huku hatujambo Mkuu, tunaendelea na shughuli zetu za kilimo
Umenitajia mishangazi kidogo nipaliwe na Kiko yangu
Hao warembo sina hamu nao, hawachelewi kunipandisha Presha na Uzee huu 🤗
Mtafia kwenye nyumba za wageni heri kutulia na mzee mwenzio kwako😅Tunatamani kula nyama nyama kama hizo, lakini kutokana na Uzee hata meno ya kutafunia hatuna 🙌
Tunaishia kula kwa kuona 🤪
Hujui tu ni kiasi gani Wazee tunainjoi tunapokuwa na binti wa Rika lile kwenye closed roomMtafia kwenye nyumba za wageni heri kutulia na mzee mwenzio kwako😅
We shauri zako😂 subiri totoz waje..🙌🏾Hujui tu ni kiasi gani Wazee tunainjoi tunapokuwa na binti wa Rika lile kwenye closed room
Japo hatuna nguvu za kwenda japo safari moja, lakini kuwa naye room tu unajikuta unarudisha kumbukumbu za mwaka 47 🤪
Tutafanyaje na hatuna meno ya kula hizo nyama nyama 🏃🏃
We mwenyewe hata kupita kunijulia hali Babu yako hutaki, njoo usikilize kero za Wazee tafadhali 🤪We shauri zako😂 subiri totoz waje..🙌🏾
Nilipita muda umeenda babu kesho😅We mwenyewe hata kupita kunijulia hali Babu yako hutaki, njoo usikilize kero za Wazee tafadhali 🤪
Um.bwa weweSasa akili kama hizi kwanini zisimwamini lisu ,KIiufupi faida ya lisu yupo na wajinga kama wewe
USSR
Labda nilikuwa evening walk uliponitembeleaNilipita muda umeenda babu kesho😅
Hapo sasa bora ukomae tu na kilimo cha uzeeni🤣Huku hatujambo Mkuu, tunaendelea na shughuli zetu za kilimo
Umenitajia mishangazi kidogo nipaliwe na Kiko yangu
Hao warembo sina hamu nao, hawachelewi kunipandisha Presha na Uzee huu 🤗