Nimeona kitu kwa mke wangu ambacho nilitamani kujua kama ni kweli

Omba ata bhang! Sio kiko tu๐Ÿ˜…
Mwenzio nimezeeka ujue, nikitumia cha Malawi si nitaanza kumwaga lazi mbele za wajukuu ๐Ÿ˜…

Fanya jioni upite kunisalimia Mjukuu ๐Ÿค—
 
Mwenzio nimezeeka ujue, nikitumia cha Malawi si nitaanza kumwaga lazi mbele za wajukuu ๐Ÿ˜…

Fanya jioni upite kunisalimia Mjukuu ๐Ÿค—
Unatumia ukiwa pekeeako ikitoka kichwani unaenda kucheza na wajukuu zako๐Ÿ˜‚
Kweli leo ntapita babu..
 
Unatumia ukiwa pekeeako ikitoka kichwani unaenda kucheza na wajukuu zako๐Ÿ˜‚
Kweli leo ntapita babu..
Ikinilevya usishangae nikaja kuwapa stori zote za mwaka 47 hapa ๐Ÿคช

Kuepusha hayo, ndiyo maana nimeacha kuitumia tangu nilipogonga 50

Pita baadaye nikuandalie na zawadi yako ๐Ÿค—
 
Marahaba Mkuu, habari za siku nyingi?

Ila kweli vijana hamna huruma na Wazee, unashindwa kunipasia hata loose ball moja nikumbukie enzi za mwaka 47 ๐Ÿคช

Mifupa siwezi kula, lakini maini naweza kupambana nayo ๐Ÿค—
Salama sana babu sijui nyie huko na bibi?

SIku hizi hakuna maini yote n mishangazi utaweza?
 
Salama sana babu sijui nyie huko na bibi?

SIku hizi hakuna maini yote n mishangazi utaweza?
Huku hatujambo Mkuu, tunaendelea na shughuli zetu za kilimo

Umenitajia mishangazi kidogo nipaliwe na Kiko yangu

Hao warembo sina hamu nao, hawachelewi kunipandisha Presha na Uzee huu ๐Ÿค—
 
Mtafia kwenye nyumba za wageni heri kutulia na mzee mwenzio kwako๐Ÿ˜…
Hujui tu ni kiasi gani Wazee tunainjoi tunapokuwa na binti wa Rika lile kwenye closed room

Japo hatuna nguvu za kwenda japo safari moja, lakini kuwa naye room tu unajikuta unarudisha kumbukumbu za mwaka 47 ๐Ÿคช

Tutafanyaje na hatuna meno ya kula hizo nyama nyama ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
We shauri zako๐Ÿ˜‚ subiri totoz waje..๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
We shauri zako๐Ÿ˜‚ subiri totoz waje..๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
We mwenyewe hata kupita kunijulia hali Babu yako hutaki, njoo usikilize kero za Wazee tafadhali ๐Ÿคช
 
Kama kwa muda mrefu ulijaribu bila mafanikio, basi ujue kuna mwamba kakusaidia kulegeza nati hivi karibuni na bisibisi ya star, ndio maana uliyokuja wewe na kamsumari kako ukafungua kwa urahisi. Iko hivyo
 
Huku hatujambo Mkuu, tunaendelea na shughuli zetu za kilimo

Umenitajia mishangazi kidogo nipaliwe na Kiko yangu

Hao warembo sina hamu nao, hawachelewi kunipandisha Presha na Uzee huu ๐Ÿค—
Hapo sasa bora ukomae tu na kilimo cha uzeeni๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ