Nimeona korosho ina kichwa kama cha mtu... one maajabu haya

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Haya mambo haya ya kusema korosho ni fitina za mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimejikuta nacheka tu wakati nacheki huo mjadala ikaja korosho moja ina kichwa cha mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki nimechekaa

Angalia hiyo korosho hapo katikati ya hizo pillarz[emoji23] za korosho[emoji1313][emoji1313]
tapatalk_1559422565927.jpeg
 
Haya mambo haya ya kusema korosho ni fitina za mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimejikuta nacheka tu wakati nacheki huo mjadala ikaja korosho moja ina kichwa cha mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki nimechekaa

Angalia hiyo korosho hapo katikati ya hizo pillarz[emoji23] za korosho[emoji1313][emoji1313]View attachment 1114626
Halafu imekasirika pia!
 
Haujakodolea vzuri hiyo picha. Hata ile ha kushoto inaonesha mzee mmoja kapozi kwa jaziba kishenzi, hacheki na mtu, kafura kwelikweli.
 
Back
Top Bottom