Ila nyumbu wa chadema chakavu na kikwete, aisee!!!Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki. Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani. Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Kamwe hawata mwezaKikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.
Kumbuka kilakitu kinamwishoIla nyumbu wa chadema chakavu na kikwete, aisee!!!
Kikwete ni mwamba sana! Huwa haangaiki na wasio na akili hata wapigwe kelele vp.
We nenda kaharishe huo uvundo akili ikurudi. Kilichomfanya akimbie nchi tena kupitia ubalozi wa Ujerumani ni nini? We una udumavu wa akili.Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki. Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani. Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.
Chadema mna vipaji sana aisee, hongereni kwa kuweza kusoma akili za watu 😂Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki. Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani. Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Asante!!Chuma huliwa na kutu...
Gogo huliwa na mchwa...
Nchi huliwa na wanasiasa...
Saa100 hata shetani wanamkataaUmeshageuka Kikwete sasa. Ilimradi uoneshe unamchukia Rais.
Rais yupo sahihi, Tanzania sio uwanja wa kufanyia siasa maji taka za Kenya. Commercial activists kutoka Kenya hawataruhusiwa kufanya uhuni wao Tanzania.
Samia ni chaguo la Mungu, kuilinda amani na usalama wa nchi hii. Mashetani yanayotaka kuvuruga nchi hayawezi kukumkubali.Saa100 hata shetani wanamkataa
Chadema mna vipaji sana aisee, hongereni kwa kuweza kusoma akili za watu
Ameanzisha mradi Gani wa kuwakomboa watanganyikaSamia ni chaguo la Mungu, kuilinda amani na usalama wa nchi hii. Mashetani yanayotaka kuvuruga nchi hayawezi kukumkubali.
jiulize nini kiliwafanya hao wakenya kuingia tanzaniaUmeshageuka Kikwete sasa. Ilimradi uoneshe unamchukia Rais.
Rais yupo sahihi, Tanzania sio uwanja wa kufanyia siasa maji taka za Kenya. Commercial activists kutoka Kenya hawataruhusiwa kufanya uhuni wao Tanzania.
Hivi Ile kauli ya " usipowasikiliza wazee nchi haitatawalika" aliisema nani vile?Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani?
Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.
Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki.
Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani
Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui