Nimeona leo Mzee Kikwete anamshangaa Rais Samia!

Atawapigaje chini wakati anaona ushauri wao unamsaidia kubaki madarakani?
 
Akili Za Kuambiwa Changanya Na Zako


Miye Sasa Nakwenda Zangu Msoga Nalala Usingizi Baridii
 
Yuko ndani wewe unajisemesha haiwezekani?

Endeleeni kushangaa myashangazwa sana.
 
Umeshageuka Kikwete sasa. Ilimradi uoneshe unamchukia Rais.

Rais yupo sahihi, Tanzania sio uwanja wa kufanyia siasa maji taka za Kenya. Commercial activists kutoka Kenya hawataruhusiwa kufanya uhuni wao Tanzania.
Hapo ukiambiwa ueleze Wakenya walikuwa wanakuja kufanya siasa gani kwa kuhudhuria kwao mahakamani utabaki unarukaruka tu.
 
Hapo ukiambiwa ueleze Wakenya walikuwa wanakuja kufanya siasa gani kwa kuhudhuria kwao mahakamani utabaki unarukaruka tu.
Hawana pointi yoyote zaidi ya uchawa tu.

Jaji Munga alisema walipowauliza Askari Airport wamewakamata kwa sababu gani, Maafisa walijibu kuna changamoto tunasubiri maelekezo kutoka juu.
 
Hawana pointi yoyote zaidi ya uchawa tu.

Jaji Munga alisema walipowauliza Askari Airport wamewakamata kwa sababu gani, Maafisa walijibu kuna changamoto tunasubiri maelekezo kutoka juu.
Kwa hiyo kauli aliyotoa Mkuu jibu tosha
 
We nenda kaharishe huyo uvundo akili ikurudi. Kilichomfanya akimbie nchi tena kupitia ubalozi wa Ujerumani ni nini? We una udumavu wa akili.
Kwani yule jiwe yupo wapi? Hata sasa parapanda I karibu
 
Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani!
Mitandao anaifahamu?
Alishasema mwenyewe kwa kinywa chake kuwa mjukuu wake ndiye operator wa simu yake
 
Huyo Kikwete ndio mshauri wake.

Hkuona alipokuwa anawashambulia kina Warioba mbeke ya maiti ya Msuya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…