Nimeona leo Mzee Kikwete anamshangaa Rais Samia!


Kikwete ndiye Muaasisi. Utekaji ulianza kipindi chake. Mara yangu ya kwanza kusikia msitu wa Mabwepande ilikuwa ni wakati wa Kikwete. Awamu zilizofuata baada yake zimezidisha tu.
 
Ngoja tusubirie maamuzi ya Mahakama ndio yenye mamlaka hayo
Hilo.ndio jambo la msingi.Ujue nyie Chadomo ni wajinga sana.

Upande wa mashtaka yaani Serikali ilitaka kesi isikilizwe kimtandao mawakili wenu wakapinga na wakaweka.zuio eti Kwa ujinga wenu kabla ya maamuzi ya Mahakama mkaenda kulazimisha.

Polisi ikawatandika virungu vya kutosha,nilicheka sana mwisho wa siku mahakama ikaamua in favor ya uande wenu.

Kwa nini Huwa hamtii sheria bila shuruti? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Dunia inatushangaa kua inakuaje tunamshabikia mtu anae amani kwenye vurugu ,uasi na uhaini ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa? KUNA MAAJABU KWELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…