Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi, in maana gani?

Kuna gari nimeiona Mwenge haina plate namba!
ni gari kama hiace hivi ila yenyewe haina madirisha, dirisha ni ile mbele kwa dereva tu.

hiyo nayo ni gari za aina gani?
 
Hao ni watu wa bunge😂
 
Back
Top Bottom