southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 906
- 1,109
Plate number nyeupe ninavofam ni gari la kibiashara, hii mojawapo ya jibu, kazi nyingine sifahamUnafahamu
Kaka sijajua na unaeza kuta ni kama T123 DJFUnafahamu jibu?
😟😟😟😒😒😒
Kuna gari nimeiona Mwenge haina plate namba!
ni gari kama hiace hivi ila yenyewe haina madirisha, dirisha ni ile mbele kwa dereva tu.
hiyo nayo ni gari za aina gani
😂
Zinauzwa hizo ila ndio walewale tu.Kama hii hapa. Tusaidie kujua zinahusu taasisi gani?
Mkuu naomba maujanja basii🙂
Hapana.Unafahamu jibu?