Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mzee Umekaza 42 Days Bila Kuchakata Mbususu.

Hapa Nipo Day 5 Sidhani Kama Nitatoboa Maana Naona Mali Zimeanza Kunicheck.
Ni kazi sana kutoboa, Ila ukiamua inawezekana.

Me huwa napiga mazoezi ya Kukimbia Kila siku lazima nizunguke uwanja mara 7 naona yamenisaidia sana.

Kama una demu ngum kutoboa hapa lazima uachane na madem zako ujifungie kwanza mpka ukamilishe ndo utafute.
 
Day 6


"No Sex Nalala Mapema Nakunywa Maji Mengi" ~ T.I.D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…