Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

180+ daysπŸ”₯πŸ™Œ
Actual nimeweza mkuu tena inaweza kuwa zaidi ya hapo nimepiga roughly tu,ndiyo kuna wakati vishawishi ni vingi ila hili huliwezi kama mtu huna hofu ya Mungu,kuna wakti unawasiliana na jinsia ya kike ushawishi unakua mkubwa lakini unaweza kuzuia kila kitu ni game of mindset tu
 
Binafsi nikianza huwa najitenga kabisa na social media zote
 
Unafanya hayo yote na kujishikilia kihivyo hasa kwa lengo gani kubwa mkuu?
 
Haya masuala ya nofap yanasaidia nini hasa, mnifumbue kidogo wakuu nami nielewe. Huenda nikapata kitu cha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…