Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Hakuna cheat code mkuu.Oooh!!!
Njia zipi unatumia??
Faida ni zipi ushapata mbaka saizi??Hakuna cheat code mkuu.
Labda kwasababu nimesha zoea maana ni miezi 7 sasa.
Lakini mwanzo wakati naanza nmedondoka sana
Lakin saiz nimefanikiwa ukifika mwaka ntapumzika for next tasks.
Mkuu kwanza elewa ku-abstain ni moja ya assessment nzuri sana kwenye maisha yako.Faida ni zipi ushapata mbaka saizi??
Go man better to remember temptation are always there.Leo naaza hii challenge rasmiView attachment 3677073
Wagalatia 5:16Go man but remember temptation are always there.
So is Either you choose cheap dopamine over your sanity, or greatness over momentum thrill.
it's all handed to you.
Matazamio yako ni yapi mkuu ? Unataka safari yako iende kwa umbali gani ?Wagalatia 5:16
Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.