Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Sex/ngono/mapenzi takes a huge chunk of our concetration and hence our energy..ukijidiscipline kuacha kwa muda.unajitoa kwenye mikanganyiko na all the fuss na stress zote za mapenzi..unakuwa mtu huru with a reserve kubwa ya energy ambayo unaweza kuidirect sehemu nyingine yenye manufaa zaidi.wanawake na matatizo yao yote wanakuwa sio kitu kwako.
 
🀣🀣🀣
 
Alfajiri kabla ya kwenda kazini nshapiga bao mbili, nimepanda mwendo kasi namuona mamama mwenye tako nshaanza kumuwazia mke wangu. Ntawezaje na natamani nirudi kwa mke wangu
Kuna kitu naona hamjaeleweshwa NoFAP wanafanya hasa ambao hawataki tena maswala ya kupiga nyeto na kuangalia picha za ngono lakin unaweza kukutana na mwanamke na Semen Retention hakuna nyeti,hakuna picha za ngono na hakuna kuonana na mwanamke na hii ina faida kubwa pia madon waliofanikiwa weng walifanya hiii jaribu kufatilia lakini wewe una mke unaweza NoFAP lakini endelea kuichakata
 
Umefafanua vizuri sana mzee baba yani mule mule........
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naanza leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…