Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Kama huna pesa ni mateso kwakweli [emoji23][emoji23]siwezi acha utamu kisa haya madude yenu
 
Hongereni vijana, hii challenge iendane na savings ya ile pesa uliyokuwa unahonga ovyo.

Ukikaa mwaka, ukiangalia savings ulizofanya....unaona faida ya kile ulichofanya. End of it una mtaji wako wa kutosha.

Sisi wengine hili linatupita, wake zetu na micheps inataka huduma zetu.
 
Mkuu unatuangusha. Hujui wewe ni kiongozi wetu wa nofap in tanzania??
Ni sawa na suluhu atuambie hvi nimepokea rushwa kidogo toka kwa wahisani ila msimu ujao sitapokea

Pumbafu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kesho rasmi naimani itanisaidia kwenye mambo flani flani pia yanayonikabili
 
Kabisa.... zile pesa nilizokuwa nachezea kisa tu nione uchi wa mtu saizi nitazitunza..... maana mimi naanza rasmi kesho tareh moja june..... na target yangu ya kwanza nikaze toka june mpaka muda kombe la dunia linaanza mwezi wa 12 mwaka huu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ muasisi wetu anatuangusha kabisa
Daa asee juzi niliteleza kwa delila mmoja hivi ila kuanzia kesho Mungu akijaalia tarehe moja juni narudi kundini na mbinu kali sana za kijasusi na kivita.. sitakuwa na masihara hata kidogo mpaka niwe Immortal....
 
Naanza kesho rasmi naimani itanisaidia kwenye mambo flani flani pia yanayonikabili
Pamoja sana mwamba.... hata mimi naanza rasmi kesho yani nataka niuanze huo mwezi wa sita nikiwa mtu safi haswa.... na siendekezi ujinga...
 
Mkuu unatuangusha. Hujui wewe ni kiongozi wetu wa nofap in tanzania??
Ni sawa na suluhu atuambie hvi nimepokea rushwa kidogo toka kwa wahisani ila msimu ujao sitapokea

Pumbafu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ndugu yangu nawaahidi sitawaangusha tena.... nataka kuanzia kesho tarehe moja nianze mwezi wa sita nikiwa mtu mwingine kabisa.
Na target yangu ya kwanza kabisa ni kuanzia mwezi wa sita mpaka kombe la dunia linapoanza mwezi wa 12 ambapo katika vyeo vyetu vya iron will ukitumikia miezi sita cheo chako ni Marshal.,baada ya hapo nitaongeza tena miezi miwili ili jumla iwe miezi nane...... ambapo miezi nane kwa mujibu wa iron will unapanda cheo na kuwa Field Marshal,..........sasa baada ya kuwa Field Marshal hapo nitaanza kutafuta cheo cha The Immortal, ambacho ni miezi kumi na mbili sasa.tuombeane uzima tu.
 
Mkuu unatuangusha. Hujui wewe ni kiongozi wetu wa nofap in tanzania??
Ni sawa na suluhu atuambie hvi nimepokea rushwa kidogo toka kwa wahisani ila msimu ujao sitapokea

Pumbafu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani acha tu ndugu yangu ila nawaahidi sitawaangusha tena.... nataka kuanzia kesho tarehe moja nianze mwezi wa sita nikiwa mtu mwingine kabisa.... na target yangu ya kwanza ni kuanzia mwezi wa sita mpaka kombe la dunia linapoanza mwezi wa 12 ambapo katika vyeo vyetu vya iron will ukitumikia miezi sita cheo chako ni Marshal., baada ya hapo nitaongeza tena miezi miwili ili jumla iwe miezi nane.. ambapo miezi nane kwa mujibu wa iron will unapanda cheo na kuwa Field Marshal, sasa baada ya kuwa Field Marshal hapo nitaanza kutafuta cheo cha The Immortal, ambacho ni miezi kumi na mbili sasa. Tuombeane uzima tu.
 
Shetani : Maake hapo nicheke kwanza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚,time will tell..
 
Kuwa makini ohoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…