Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Huu uzi ni kwa wasio oa tu?
Mlio oa labda kama wife kasafiri unaweza ukaapply hiyo ila kama yupo mzee ni lazima uzibue lile sikio ni haki yake lile sikio lizibuliwe na wewe.... usije ukasababisha watoto wafanane na balozi wa mtaa mzeebaba....
 
nilicho observe ukikaa bila kupiga nyeto au kusex kwa muda libido inapungua na uwezekano wa kuwa hanithi ni mkubwa
Hauwezi kuwa hanithi wkt unazalisha testosterone ya kutosha Mkuu, Hapo unaipunguzia brain muda wa kuwaza sex Sana unabadili matumizi ya akili, maana libido inachochewa na brain iliyokaa kizembezembe Cha muhimu focus na mambo mengine tu.
 
Hii challenge Ni nzuri Sana SEMA Watu Wengi wana mawazo mgando wanahisi watapoteza uwezo wa sex Mara watageuka mashoga lkn km wengi wakaamua serious kuijua vzr na waifanye watakuja kufurahi Sana mbeleni yaani naiona Kama vile unajichaji na unajitafuta halafu unajiweka unapostahili uwepo.

Kwangu mm Hii Ni zaidi hata ya hizo meditation kwa Kweli
 
nilicho observe ukikaa bila kupiga nyeto au kusex kwa muda libido inapungua na uwezekano wa kuwa hanithi ni mkubwa
Ni sawa na kuweka betri chaji na ukahakimisha kabisa moto unaingia kwenye betri alafu mara baada ya muda flani unakuja kulitoa eti ukute betri lina asilimia sifuri...?

Hicho ni kitu hakiwezekani mzeebaba hebu anza upya research yako... ulichokisema hapo kinyume chake sasa ndiyo moja kati ya faida lukuki zinazopatikana kwenye challenge hii buda.
 
Umeeleza vizuri sana mdau. Hapo kweli ni sawa na kujitafuta maana upo kwenye sehemu isiyo sahihi and you must come to the real world...
 
Nimesoma huu uzi na mimi nikajiunga challenge week ya pili hii sijapiga nyeto nataka niende mpk mwisho wa mwezi huu , naacha kupiga nyeto tuuh na kuangalia porn video , ila demu wangu nachakacha kama kawaida
 
Haha vipi kamanda sketi zinaanza kukufukuzia? inatakiwa usizizingatie hizo zitaharibu mchongo man...
Sketi zinakwepeka, ila kuna hali ya mwili iko, kuna ka internal power kana kufanya ujihis faru au bulldozer uchakaze chakaze na kurarua mbususu, ila bado tuna strong will, natumai siku mia zitaisha.
 
Fanyeni muowe bana acheni izo pirika za kitoto.
 
Nimesoma huu uzi na mimi nikajiunga challenge week ya pili hii sijapiga nyeto nataka niende mpk mwisho wa mwezi huu , naacha kupiga nyeto tuuh na kuangalia porn video , ila demu wangu nachakacha kama kawaida

Ukiangalia movies yenye intense sex scene kwani hiyo nayo ina count
 
Kuna vitu vya kuchukulia poa lakini sio kunjunjaaa ndugu zangu
Tuwe na selfcontroll tu itasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…