Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Sio kwenye mambo hayo.
Kila siku ule chakula Cha kushiba.afya njema ni ngumu.
Unashiba kama kawaida na unapiga tizi zuri pamoja msimamo wa hali ya juu kama tumekunywa maji ya bendera...... Mfano mimi nakula asubuhi msosi heavy alafu mchana sili hapo ni mpaka usiku tena ndo nakula.
 
Nimefeli.. nilijikuta namuona kila mwanamke ni mzuri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utapata tezi dume wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…