Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashiba kama kawaida na unapiga tizi zuri pamoja msimamo wa hali ya juu kama tumekunywa maji ya bendera...... Mfano mimi nakula asubuhi msosi heavy alafu mchana sili hapo ni mpaka usiku tena ndo nakula.Sio kwenye mambo hayo.
Kila siku ule chakula Cha kushiba.afya njema ni ngumu.
Yeye amegoma[emoji23][emoji23]Kwani mzabzab anasemaje???
Hehehehe nilijua hataki unafikiYeye amegoma[emoji23][emoji23]
Nimefeli.. nilijikuta namuona kila mwanamke ni mzuri[emoji23][emoji23][emoji23]Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2234241
Utapata tezi dume weweMabadiliko ni makubwa Sana.
Mwanzo week za Kwanza wa weza pata izo ndoto nyevu Mara 1,2 ila baada ya hapo haitokei tena.
Faida nilizo ona Hadi sasa.
-kwanza Unajiamini,Mwili una kuwa na nguvu,na afya tele.
-Akili inakuwa faster,tulivu na pia yenye mawazo chanya juu ya mstakabali wa maisha.
-Abdala kichwa wazi yupo strong,vibaya mno,anasimama imara Kama mnara,hii kwang ni zaidi ya mwanzo.
-Uchumi umekua maana nimejitenga mbali na hawa ndug zetu upande wa pili,nimejua kuji control kiasi kwamba ke Yani sumbui au kuniendesha kisa k,maana naweza survive without it.
-Imeniondolea ulimbukeni juu ya wanawake for 95% hivyo nakuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yangu ya kesho,nime save San Mkwanj wangu
✓bado naendelea ntazidi kuleta maendeleo yangu juu ya operation hi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huwa mnatuonaje mwangu Atoto Espy?[emoji28]
Safi mkuu, ngoja tukaze hii ni sawa sawa na mfungo tu hakuna tofautiMimi chungu cha tano leo..... kesho naingia cha sita
Tupo kwenye mfungo na Mungu akatufanyie wepesi[emoji23]Inawezekana nilikosa muda wa kuchangia hapa
Zingatia mazoezi....
Epuka matumizi ya pombe kali, ukilewa tu unajikuta umeshaharibu
Fanya Ibada View attachment 2252724
Itakua jamaa yako ukimnyima tamu, anaiombaga mbususu mpaka analia ndiyo maana unatuona wote hatuwezi kukaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawaona hivyo hivyo.
Na kwanini nimnyine?Itakua jamaa yako ukimnyima tamu, anaiombaga mbususu mpaka analia ndiyo maana unatuona wote hatuwezi kukaza
Kina wakati mnatuonea kuwa huwa ni watu wa kuwazie ile kitu tu, hapsna kubwa jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawaona hivyo hivyo.