Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Sasa hii challenge na hawa wanawake watatuelewa kweli? Watasema tunacheat au tunawatafutia sababu.
 
Inawezekana nilikosa muda wa kuchangia hapa

Zingatia mazoezi....
Epuka matumizi ya pombe kali, ukilewa tu unajikuta umeshaharibu
Fanya Ibada View attachment 2252724
Ebanaeee umekaza ile ile mzee na uko mbali balaa tuombee kwa baba aliye juu nasi tufike huko, naona bado kidogo sana uwe field marshal mtaalm... Sasa kuna watu wanashauri eti tusile msosi wa kushiba....... sababu wewe ni mmoja kati ya waliofika mbali kwa hii challenge je na wewe kutokushiba msosi ndiyo mbinu uliyoitumia mpaka kusurvive siku zote hizo..!?? Hebu tuchane mwamba.
 
Nimefeli.. nilijikuta namuona kila mwanamke ni mzuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali utasimama tenaa... vipi ulifika chungu cha ngapi mtaalam mpaka ukaanza kuona hali hiyo..... inaelekea kuna manzi ulimwita geto.
 
Wew kwahyo dp yko hautafika popote[emoji28][emoji3]
Watu tupo chungu cha sita saizi. Huyo mwamba ndiyo role model wangu na niliacha kuangalia pande ile mara tu alipostaafu nami nikaacha kabisa kuwa muumini wa kule maeneo pendwa.
 
πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Ikaushie na mbasusu kwa muda mzee baba ukitoka huko unakuwa kama mjeda aliyetoka vitani alafu ndo anamuona wife sasa hilo libeneke lake man lazima manzi awehuke. we ikaushie mbasusu kwanza.
Kwahiy demu wangu namwambiaje ??? Hapo ni sawasawa na kumruhusu akagongwe na wauni wengine, mimi naacha nyeto tuuh
 
Ni idea nzuri but inakunyima haki zako za msingi sperms was never made tu be stored mkuu
Mbegu zilitengenezwa ili zitoke hakikisha zinatoka in any means [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usijali utasimama tenaa... vipi ulifika chungu cha ngapi mtaalam mpaka ukaanza kuona hali hiyo..... inaelekea kuna manzi ulimwita geto.
Miezi miwili..kuna manzi nilitokanae tuakaenda beach kilichofuata kesho yake genye zilipanda mpaka nikapigia simu maEx [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..

Sasa imebidi nizipunguze kwa ex mmoja.. sema show ilivyoenda score za mwanzo ziliwahi sana mpaka manzi akachukia


Nikamwambia atulie hizo zilikuwa ni warm-ups tuu.. baada ya hapo alifurahi mbona[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni idea nzuri but inakunyima haki zako za msingi sperms was never made tu be stored mkuu
Mbegu zilitengenezwa ili zitoke hakikisha zinatoka in any means [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha hiyo ni mindset tu... yani kama wewe umejiwejea akilini kwamba mbegu ni lazima zitoke by any means utazitoa tu mpaka ziishe uanze kutoka upepo tu mzeebaba ila mimi nimeshajua umuhimu wa kutozitoatoa hovyo ndiyo maana niko deep to this one..
 
Ndiyo mtaalam.. Tupe update... score za mwanzo mwanzo ngapi zilienda fasta.?

Natumai hukutuangusha memba wa hii challenge, ukianguka unaanguka kwa kishindo na ukirudi kundini unarudi kwa kishindo kikuu vilevile..... Pamoja na kwamba huyo ex alisababisha anguko lako ila natumai ulimkamua vilivyo mpaka akahisi anapigwa mtungo na njemba nne kumbe ni njemba moja tu.

Tunakukaribusha tena kundini kwa moyo mkunjufu..... Once again... welcome home mzeebaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…