Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Watu tupo chungu cha sita saizi.
huyo mwamba ndiyo role model wangu na niliacha kuangalia pande ile mara tu alipostaafu nami nikaacha kabisa kuwa muumini wa kule maeneo pendwa.
Hahah.. hay mkuu kila la kheri[emoji3]
 
Pole mzee, share with us ilikuwaje ?
Ilikuwa ni ijumaa nimetokazangu job. Nikapita sehemu na washakaji nikagida migido ya kutosha. (Heineken zine genye flani hivi) nimefika zangu home kama saa sita usiku nikamkuta wife amenipokea kwa bashasha. Sijui nae alimis dude. Basi ndo vile tena mambo ya kiutu uzima yakaendelea.
 
Tatuuu..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikuuza mechi.. Ex alisema sababu inamfanya ashindwe kuniacha ni hiyo hakuna kingine[emoji23][emoji23]
 
Hizo Challenge hazifanyagi kazi,
Unaweza ukaamka asubuh ,ukijikuta umejiachia

Fata falsafa za Yesu - hata maisha yote unaweza kukaa bila kiu ya hayo mambo
 
Hizo Challenge hazifanyagi kazi,
Unaweza ukaamka asubuh ,ukijikuta umejiachia

Fata falsafa za Yesu - hata maisha yote unaweza kukaa bila kiu ya hayo mambo
Hiyo ya ndoto nyevu ni naturally so haiaffect challenge... kwa no fap family wanaita Nightfall
 
Sema kama umeona aisee mi sishauri Sana kuwa kwenye hii challenge
 
Wakuu hivi hiyo noFAP unapotumia app, kwani huwezi kuchit, yaani uchachue then iendelee kucount? Au inakubana
 
Wakuu hivi hiyo noFAP unapotumia app, kwani huwezi kuchit, yaani uchachue then iendelee kucount? Au inakubana
Unaanza upya endapo ukichachua

Ila kila mtu analengo lake

Kuna ambao wanafanya kuacha nyeto na porn (sex ya kawaida anaweza fanya )

Kuna ambao lengo lao n kuto sex kabisa wala nyeto wala porn.. n ww na njia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…