Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Unakimbia sana[emoji1787]
Safari ni ndefuuu
Screenshot_2022-06-07-21-13-36-61.jpg
 
Watu tupo chungu cha sita saizi.
huyo mwamba ndiyo role model wangu na niliacha kuangalia pande ile mara tu alipostaafu nami nikaacha kabisa kuwa muumini wa kule maeneo pendwa.
Hahah.. hay mkuu kila la kheri[emoji3]
 
Pole mzee, share with us ilikuwaje ?
Ilikuwa ni ijumaa nimetokazangu job. Nikapita sehemu na washakaji nikagida migido ya kutosha. (Heineken zine genye flani hivi) nimefika zangu home kama saa sita usiku nikamkuta wife amenipokea kwa bashasha. Sijui nae alimis dude. Basi ndo vile tena mambo ya kiutu uzima yakaendelea.
 
Ndiyo mtaalam.. Tupe update... score za mwanzo mwanzo ngapi zilienda fasta.?

Natumai hukutuangusha memba wa hii challenge, ukianguka unaanguka kwa kishindo na ukirudi kundini unarudi kwa kishindo kikuu vilevile..... Pamoja na kwamba huyo ex alisababisha anguko lako ila natumai ulimkamua vilivyo mpaka akahisi anapigwa mtungo na njemba nne kumbe ni njemba moja tu.

Tunakukaribusha tena kundini kwa moyo mkunjufu..... Once again... welcome home mzeebaba.
Tatuuu..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikuuza mechi.. Ex alisema sababu inamfanya ashindwe kuniacha ni hiyo hakuna kingine[emoji23][emoji23]
 
Hizo Challenge hazifanyagi kazi,
Unaweza ukaamka asubuh ,ukijikuta umejiachia

Fata falsafa za Yesu - hata maisha yote unaweza kukaa bila kiu ya hayo mambo
 
Hiyo ya ndoto nyevu ni naturally so haiaffect challenge... kwa no fap family wanaita Nightfall
 
Ilikuwa ni ijumaa nimetokazangu job. Nikapita sehemu na washakaji nikagida migido ya kutosha. (Heineken zine genye flani hivi) nimefika zangu home kama saa sita usiku nikamkuta wife amenipokea kwa bashasha. Sijui nae alimis dude. Basi ndo vile tena mambo ya kiutu uzima yakaendelea.
Sema kama umeona aisee mi sishauri Sana kuwa kwenye hii challenge
 
Wakuu hivi hiyo noFAP unapotumia app, kwani huwezi kuchit, yaani uchachue then iendelee kucount? Au inakubana
 
Unaanza upya endapo ukichachua

Ila kila mtu analengo lake

Kuna ambao wanafanya kuacha nyeto na porn (sex ya kawaida anaweza fanya )

Kuna ambao lengo lao n kuto sex kabisa wala nyeto wala porn.. n ww na njia yako
 
Back
Top Bottom