Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

hiyo ya ndoto nyevu ni naturally so haiaffect challenge... kwa no fap family wanaita Nightfall
Kitendo Cha kumwaga tu
Ni kitendo unarudi kuwa weak,
Na hata concentration inapungua na mawazo pia.

Ila unapotumia muda mwingi ktk kusali na kusoma Biblia , lile pepo la tamaa halijagi usiku
 
Kitendo Cha kumwaga tu
Ni kitendo unarudi kuwa weak,
Na hata concentration inapungua na mawazo pia.

Ila unapotumia muda mwingi ktk kusali na kusoma Biblia , lile pepo la tamaa halijagi usiku
Sometimes dini zinawafumba macho..

Sasa wet dreams na mapepo wap na wap...

Wet dream tendo la kawaida tu kwa mwanaume anaezalisha mbegu na hajazitoa muda mrefu so zinatoka zenyew
 
Sometimes dini zinawafumba macho..

Sasa wet dreams na mapepo wap na wap...

Wet dream tendo la kawaida tu kwa mwanaume anaezalisha mbegu na hajazitoa muda mrefu so zinatoka zenyew
Vp , kwa wanaombewa magonjwa yasiyo tibika na yakapona.

Sio kila mahali unatumia akili, Kuna sehemu Akili zinafika mwisho. Tambua nyakati
 
Mnakosea Sana,
Mwanamke akiwa mjamzito peleka Sana Moto, itamsaidia wkt wa kujifungua.
Mzee mwenzangu we mtu mzima, ushalea mimba, hii mimba sio ya kumpelekea moto hata kidoogo.

Mengine si ya kuweka hadharani
 
Mnakosea Sana,
Mwanamke akiwa mjamzito peleka Sana Moto, itamsaidia wkt wa kujifungua.
Moto wangu mimi sio wa kupelekea mama mjamzito yoyote yule, sasa huyu wangu mimi ndio kabisa, ni kuchovya chovya tu na sio kumpelekea moto
 
Hahaha hiyo ni mindset tu... yani kama wewe umejiwejea akilini kwamba mbegu ni lazima zitoke by any means utazitoa tu mpaka ziishe uanze kutoka upepo tu mzeebaba ila mimi nimeshajua umuhimu wa kutozitoatoa hovyo ndiyo maana niko deep to this one..
Leta umuhimu hiyo kwa afya ya ubongo gomes
 
Unajiunga kwenye nofap ula hujui maana ake umefata mkumbo tu

Watu wanafanya hii ili kujinasua kuangalia porn na kupiga nyeto ila mapenzi kwa njia ya kukutana na mwanamke unafanya kam kawaida
 
Vp , kwa wanaombewa magonjwa yasiyo tibika na yakapona.

Sio kila mahali unatumia akili, Kuna sehemu Akili zinafika mwisho. Tambua nyakati
Sasa kwenye wet dream akili inafikaje mwisho..

Mbona inaeleweka kabisa...mwanauma anazalisha mbegu na hasipozitoa zitatoka tu zenyew...
Kama ilivyo kwa wanawake yai lisiporutubishwa mambo kama hedhi ndo hutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…