Tokea nimejiunga na hii challenge imenisaidia sana kunijengea confidence,ufanisi wa kazi umeongezeka,uwezo wakufikiri na wakufanya maamuzi sahihi na afya imeimarika sana.#Nofapforever
Watu watafikiri unatania ila faida zitaongezeka mtu akitaka kujua faida za nofap au semen retention aende youtube ndo mtu ataelewa pia hata sperms huwa zinatumiwa na mwili unakuwa na nguvu na akili nyingiiii hata misuli hukua
Mike tyson alifanya nofap/semen retention kwa miaka mitano matokeo yake alikuwa anawachakaza tu mabondia wenzake
Lamwisho nililoliona mimi kwangu michongo inakuja yenyew inafunguka tu[emoji1][emoji1]
Chamwisho ni kwamba Mungu kuagiza watu wasishiriki uasherati alikuwa na maan kubwa ila shetani anatumia vishawishi hasa ngono ili tuangamie vijana kwanza ni dhambi pia huwez kuwa smart
Watu watakuion unafuraha kumbe una act maisha yako unayajua mwenyew
Pia mihadarati maana hivi vyote hufanya mwili utoe homoni ya dopamine ambapo mwisho wa siku unakuwa huna uwezo wa kufanya maamuzi kila siku unaahirisha mambo huna concetration, unakuwa na mawazo kuhusu wewe binafsi unajilaumu kwa kuangalia porn huku ukiahidi kesho huangalii na unarudia
Hii kitu inahitaji pia uombe saaana na sambaba na hilo Nofap pia inaambatana na kupunguza matumizi ya pombe na sigara na mwisho unaviacha vyote maana vyote vinaharibu dopamine hormone na kuna success stories youtube watu wameweza pia wote walioweza naona wanafanikiwa saaana kiuchumi hata mahusiano na familia yanakuwa bora zaidi na kuwa na mvuto
Sasa kama unavuta sigara na kunywa pombe na unafanya nofap bora uache tu maana unapaswa mtu uelewe lengo kwanz ujitoe kweny hayo mavitu
Chamwisho tena[emoji1][emoji1] ukianza hii kitu pia utapoteza marafiki na hawa utakaowapotez ni wale marafiki mizigo, watu wa club wanaospend money bila kujua maana ya kusave
Oyaaaaaaaaaa weeeeeeeeeee someni kuhusu nofap na semen retention n muingie mjioneeee3e
Na kwa wale wazee wa kamoja ukifika miezi 6 wewe unarud ujanani kwenye kuchakata pia kumbuka lazima nofap iendane na mazoezi pia. Kuwa na mtu wa kufanya nae tizi (accountability partner)