Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Tokea nimejiunga na hii challenge imenisaidia sana kunijengea confidence,ufanisi wa kazi umeongezeka,uwezo wakufikiri na wakufanya maamuzi sahihi na afya imeimarika sana.#Nofapforever
 
Watu watafikiri unatania ila faida zitaongezeka mtu akitaka kujua faida za nofap au semen retention aende youtube ndo mtu ataelewa pia hata sperms huwa zinatumiwa na mwili unakuwa na nguvu na akili nyingiiii hata misuli hukua

Mike tyson alifanya nofap/semen retention kwa miaka mitano matokeo yake alikuwa anawachakaza tu mabondia wenzake

Lamwisho nililoliona mimi kwangu michongo inakuja yenyew inafunguka tu[emoji1][emoji1]

Chamwisho ni kwamba Mungu kuagiza watu wasishiriki uasherati alikuwa na maan kubwa ila shetani anatumia vishawishi hasa ngono ili tuangamie vijana kwanza ni dhambi pia huwez kuwa smart

Watu watakuion unafuraha kumbe una act maisha yako unayajua mwenyew

Pia mihadarati maana hivi vyote hufanya mwili utoe homoni ya dopamine ambapo mwisho wa siku unakuwa huna uwezo wa kufanya maamuzi kila siku unaahirisha mambo huna concetration, unakuwa na mawazo kuhusu wewe binafsi unajilaumu kwa kuangalia porn huku ukiahidi kesho huangalii na unarudia

Hii kitu inahitaji pia uombe saaana na sambaba na hilo Nofap pia inaambatana na kupunguza matumizi ya pombe na sigara na mwisho unaviacha vyote maana vyote vinaharibu dopamine hormone na kuna success stories youtube watu wameweza pia wote walioweza naona wanafanikiwa saaana kiuchumi hata mahusiano na familia yanakuwa bora zaidi na kuwa na mvuto

Sasa kama unavuta sigara na kunywa pombe na unafanya nofap bora uache tu maana unapaswa mtu uelewe lengo kwanz ujitoe kweny hayo mavitu

Chamwisho tena[emoji1][emoji1] ukianza hii kitu pia utapoteza marafiki na hawa utakaowapotez ni wale marafiki mizigo, watu wa club wanaospend money bila kujua maana ya kusave

Oyaaaaaaaaaa weeeeeeeeeee someni kuhusu nofap na semen retention n muingie mjioneeee3e

Na kwa wale wazee wa kamoja ukifika miezi 6 wewe unarud ujanani kwenye kuchakata pia kumbuka lazima nofap iendane na mazoezi pia. Kuwa na mtu wa kufanya nae tizi (accountability partner)
 
Reddit watu wengi wametoa ushuhuda kuhusu hii kitu wamesema imebadilisha maisha yao sana

Kuwa na sponsor kama wale watu wa addiction muhimu kama ulivyosema hapo, maana sometimes unaona mambo yanataka kugeuka kikubwa ni kuwa busy & mazoez kukataa Lust triggers
 
Reddit watu wengi wametoa ushuhuda kuhusu hii kitu wamesema imebadilisha maisha yao sana

Kuwa na sponsor kama wale watu wa addiction muhimu kama ulivyosema hapo, maana sometimes unaona mambo yanataka kugeuka kikubwa ni kuwa busy na mazoez kukataa Lust triggers
Yeah mzee
 
Yeah inaitwa iron will
Ntafika tu
Screenshot_2022-06-10-09-28-23-82.jpg
 
Ni njia ya kuchanel ile energy inayokua deplet3d from reaching an orgasm. Kwaio unakula tunda kama kawaida lakini humwagi bao. Hiyo ni more healthy na inaburudisha zaidi. Unakojoa pale tu ukiamua. Kuna kitabu nshawahi kukiweka humu kuhusu io ishu.
Kuhusu mind kua focused, ukifanya meditation vizuri na mazoez muhim mbona unakua fresh tu
Naomba kitabu Mkuu
 
Back
Top Bottom