Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Kaka usipoejaculate c unaweza gonga hata masaa sita maana utamu wa hapo utotaka kuacha labda manzi mwenyewe akutoe kwa nguvu
Ndo hivyo ila sana uwe na pumzi ya kutosha na kuna kuwa na break mnapumzika mnaanza tena...unaorgasm lakini hauejaculate...orgasm na ejaculation ni vitendo vinavyofuatana kwa kupushana sekunde chache...ukiweza kutenganganisha unakuwa mwamba kamili
 
Mzee wa machinjachinja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wajuba mna roho ngumu,unawezaje kuangalia video kama hizo?!??..
 
Kama unahitaji nakupatia kiongozi, ni wewe tu.
Ndo hivyo ila sana uwe na pumzi ya kutosha na kuna kuwa na break mnapumzika mnaanza tena...unaorgasm lakini hauejaculate...orgasm na ejaculation ni vitendo vinavyofuatana kwa kupushana sekunde chache...ukiweza kutenganganisha unakuwa mwamba kamili
Ebu nipe utofauti kati ya Orgasm na Ejaculate
 
Nimekudm kiongoz natama kujua zaid yuu ya psychology yao
 
Wakati mwingine ukisema uende mwenyewe utafeli inabidi umtangulize Mwenyezi Mungu kwanza kwa kila jambo na hatua hata kutoa sadaka kidogo hata kuwapa watoto vipipi kwa kupiga hatua kama Shukrani .

Mimi nilianza kibishi nikatoboa miezi kama sita hivi basi nikajiona bonge la mwamba kibri kikawa juu nikajiona shetani haniwezi tena na hakuna mahala nitakapokamatika maana nina upiga mwingi.

Kuna siku mdau wangu nilimuazima simu yangu alitumia baada ya muda akanirejeshea , sasa nipo ghetto nimeingia upande wa video nikaona kitu kigeni nikajiuliza ni nini ngoja nikaclick chap ikaja porno kumbe mchizi alikuwa anachrki Moja alidownload na akasahau kuifuta dah! shatani alinizidi nguvu na arosto ilikuwa kubwa basi kulikuwa na wese pembeni nikasema ngoja nijiongeze chap maana siwezi kuwatch bila kustua .

Siku hiyo nilipiga hiyo kitu kwa ufanisi mkubwa sijawahi kupiga masterbation ya kiwango cha Fifa tokea nizaliwe kama ya kiwango kile wazungu wazito kama wamelamba asali. Baada ya kumaliza nilijuta kinyama jitihada zangu za miezi 6 kukatika kwa muda mfupi nilijiona bonge la boya nikamlani mchizi ile mbaya nikajipa moyo nikasema kujilaumu hakutosaidia ngoja nianze kweli kwa vile wiki ijayo ni mwezi wa Ramadhani unaandika tarehe ramsi ya kuanza na natubu kila kitu pamoja na kumtangiliza Mungu na dua nyingi ile mentality ya kujikweza mimi mwamba nikaitoa kauli yangu ikawa"Hakuna uwezo wa kuepuka maovu wala nguvu ya kufanya mema isipokuwa kupita Mwenyezi Mungu muwezawa yote" pamoja na hilo mimi mwenyewe nikajiwekea mikakati madhubuti ya kutoboa.

Tokea hapo mpk sasa nakaribia mwaka wa tatu hali hii nimeizoea kabisa na faida naziona muda si mrefu nakaribia kuvuta jiko.
 
Pia unaseve nguvu ya uumbaji iliyopo ndani yako , ukichanganya na spiritual meditation itakusaidia itakurudishia nguvu zako za asili mfano nguvu ya machale , nguvu ya kukontrol mazingira , nguvu ya kujiponya, nguvu ya kusma akili ya mtu , na mengne mengi.
 
Kwan nan kakuambia kufa ni tatizo?
 
Wanawake nasikia mnaweza kukaa hadi miaka mitano nyie bila kutanua miguu
Kma mwanaume hawezi ni wanawake wapi hasa wanaweza ? Mwanaume yeye huwa anachakata kiumbe gan sasa?
 
Kma unafanya fanya hamna aliekuzuia siwezi mwaga mbegu ovyo ovyo hi challenge sasa nina miezi nane nafanya
 
Kma unafanya fanya hamna aliekuzuia siwezi mwaga mbegu ovyo ovyo hi challenge sasa nina miezi nane nafanya
Hongera mkuu, kwani huna mke au dem na kama huna huna hivyo vyote viwili unategemea kuendelea na hii chalenge mpaka lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…