Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Daah..mkuu nimecheka sana kiukweli hii chalenge ni ngumu bila kudra za Mungu uwezi, ukishafungua porn sites bac jua umekwisha lazima utapiga bao la mkono tu maana nguvu ya kujizuia ina kuwa ndogo halafu baada ya kuutupa bac utajilaumu siku nzima halafu labda ukute ushakimbiza kama mwezi ujapiga mambo halafu tena leo unaanza moja hapo ndipo utapozidi kuishiwa nguvu.
 
Mungu akasimame nami... Kuanzia July 01, nahamia rasmi kwenye simu ya kiswaswadu


Nahitaji healing ya takribani miezi 3-6


Nikiona nimeweza nitaacha rasmi moja kwa moja

Maombi yenu wadau....

Naenda kuimisi JF, WhatsApp na mitandao yote ya kijamii....

From 1 July 2022 tutakutana hapo wakati mwingine
 
Kuanzia miezi mitatu hapo lazima utakuwa mkomavu na itakuwa ngumu sana kurudi chama ovu.Mapambano mema usisahau kurudi na mrejesho
 
Mtandao wa Wikihow unasaidia sana una nondoz nyingi ya maswala ya saikolojia na emotions . Hata nilivyoanza hii kampeni kuna baadhi ya nondo za nilichukua huko ili kujiweka imara zaidi pale katika kila jambo wewe type kwenye search button "How to ....." unakutana na details za uhakika kutoka kwa wataalamu mbalimbali.
 
Kabisa mkuu , ndo hivyo ukishindwa unakuja na mbinu pamoja na mikakati mipya na kujipa matumaini .
 
Mbona uzi umejaa wapiga nyeto kuliko wafanya ngono?

Kama mnajitahidi kuondokana na urahibu wa nyeto nawaunga mkono. Ila kama mnataka muondokane na kut*mba siwaungi mkono. Sasa dudv linakua na kazi gani? Kukojoa au ni nini? Yani mtu una mwanamke ndani unamkazia kumpa haki yake ???

Halafu pia muondoke kule kwenye uzi wa kula kimaskhara maana ule nao ni shetani kama kuangalia porn.

Nili unsubscribe maana kila nilikua nikiusoma akili inahama natamani mbunye...

The only thing nimefanikiwa kwenye ngon& ni kuacha kutembea na wanawake wengi. I only fvck my chicks....
 
Mtu ukiishiwa unakuwa na mipango miingi, subiri upate pesa kama utaikumbuka hiyo Nofap
Bro sema huna hela sio Nofap wala nini
 
Nakubaliana nawe kabisa
 
Duh mwamba upo vizuri mwaka wa tatu sasa? Faida ni kama zipi tangu umeanza kufanya hii program
 
Meditation [emoji3286] sijawahi Fanya hivi huwa mnafanikiwa kuifanya naonaga ni kazi
 
Kuna clip fulani hivi kuna jamaaa amevua nguo zote kamshikilia punda kamuingizia kitu anamla punda na alikua anapump balaa nikasema kuna watu wana uchu balaa
 
Kma unafanya fanya hamna aliekuzuia siwezi mwaga mbegu ovyo ovyo hi challenge sasa nina miezi nane nafanya
Ndani ya miezi nane hupati shida yoyote, ndoto zile za kugegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…