Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Wakuu mi naomba nifanye Sensa tu ya hiari kujua umri wa washiriki na wahanga humu ndani.
 
𝐓𝐎 𝐁𝐄 𝐀 𝐒𝐓𝐑𝐀𝐈𝐆𝐇𝐓 𝐈𝐒 𝐍𝐎𝐓 𝐄𝐀𝐒𝐘
 
[emoji1787] [emoji1787] Umejisifia sana ila humo humo inawezekana its a mindset game ukikubali inaenda unavyotaka ,
 
Ombeni msiingie majaribuni [emoji1787][emoji1787]
 
Mi nilianza 8.8.2022 iyo ni rahisi kukumbuka...ila app naona duh!!! Ukiziesabu utachizi... nakaskuma mdogo mdogo...twendeni nchi ya ahadi wakuu.

Pisi itakuwa inakatwa siku maalum...na ni kwa maamuzi...sio inipelekeshe.
 
Wakuu kazeni mm swala la uzinzi/uasherati nimeachana nalo siku mingi sana baada tu ya kusoma uzi wa member mmoja huku jf Nyenyere huyu mwamba alishusha madini sana kuhusu maswala ya kiroho pia kuna mwamba Amicus Curiae alishusha madhara ya uzinzi kwa afya ya mwili na roho hapo ndo kabisa nikaona hii kitu uzinzi ni bora kuiacha ntakufa maskini kwa kukosa baraka za Mungu

Tangu siku hiyo nilishawishika sana na nyuzi za hawa jamaa wawili wameshusha nondo za hatari sana, nikajiona nimekomboka kupitia nyuzi za hawa watu

Nakumbuka ilkuwa ni j5 nikaona niende rasmi kanisani jmos kutubu dhambi zangu ili nianze vita rasmi ya kumshinda shetani na kuipiga vita vikali hii dhambi ya uzinzi

Hii vita ni ngumu sana kwa sisi ambao tayari tulishawahi kuilamba asali,yaani ukiona demu ana chura anakatiza mbele yako unapata kiwewe mpaka miguu inatetemeka, ukiruhusu mwili ukutawale basi utajikuta dhambini

Kwa sasa mm nina miezi 5 tangu niache zinaa, uki-calculate kwa siku unaongelea 150 days, kwa wengine humu ndani ni nyingi ila kwa wengine ni siku chache, muhimu tusali wakuu, ibada ni funguo ya kila kitu,

Baada ya kukazia sala huwa kuna siku najikuta ninaota ndoto mbaya nachakata mbususu ila huwezi amini nikakarbia kukojoa nashtuka kabisa, kwamba hata kama nlkuwa na sex na pepo mchafu basi ameshindwa kuchukua mbegu zangu ambazo ni kitu muhimu sana kwa binadamu kwani zimebeba uhai/nafsi, hivyo ni rahisi mwanamke/pepo kukufanya anachotaka kupitia mbegu zako ambazo zimebeba nafsi yako, ni maswala ya kiroho zaidi yameelezewa kwa kina kwenye nyuzi za hao jamaa wawili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule uzi wa Nyerere una madini hatari ukisoma lazima uhamasike hapa umenikumbusha kupitia tena maana wa kitambo sana.
 
Ule uzi wa Nyerere una madini hatari ukisoma lazima uhamasike hapa umenikumbusha kupitia tena maana wa kitambo sana.
Mafundisho ya pale ni next level kwa mtu mwenye akili ya kutafakari na kuamini. Madini kama yale yangetolewa kanisani, shuleni, vyuoni ingewakomboa wengi, kuliko kuwahubiria watu kuhusu mali wakati kuna vitu vya muhimu sana kuvijua na kuviishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa ,mimi hadi niliscreenshot baadhi ya vitu mule kea kuona muhimu kurudia kusoma na watu wengi walisema ule uzi ndio uzi bora kwa mwaka ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…