FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Amani ya bwana iwe nawe. Samahani mkuu.Sielewi mantiki yako ni ipi, unataka ushahidi upi? Mtu akiamua kudanganya anaweza kuleta hizo screenshot za hizo app za kuhesabu lakini bado akawa anamwaga mbegu kama kawaida. Labda kama unataka upewe location ya mkuu ili uende uwe unashinda nae 24 hours ili upate huo ushahidi.
Just be inspired and not otherwise.