Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Baada ya takribani siku 35 Nimepata relapse moja Kali Sana nikajichukulia Sheria mkononi,
Mwanzo niliamua kuacha porn na puli kwanza Ila sex niendelee na nakumbuka nilisex Kama Mara sita au Saba hivi Basi, baadae nikahamasika nayo niiache, nikaazimia kufanya sperm retention Kabisa na nikaacha rasmi vyote porn, puli na sex.

Faida nilizopata
Kwangu Mimi nilijona Kabisa nimebadilika hata kazi zangu nilifanya kwa bidii na morali na mafaniko makubwa sana tofauti na mwanzo, kujiamini kwangu kuliongezeka sana Tena sana yaani hadi najishangaa mwenyewe, hata nikipishana na mwanamke sijishauri kumgeukia kumuangalia kwa tamaa za kumpigia puli baadae pia nimegundua kuwa Kumbe MTU unaweza Kabisa Kuishi bila kufanya mapenzi kabisa. Hii inawezekana sana maana nimepata muda wa kuusoma mwili wangu.

Kuanguka kwangu kumetokana na
haka ka ujasiri ka kipumbavu. Niliona nimewin najiamini sana aisee Kumbe napotea nikajisahau nikawa naperuzi mitandaoni bila utaratibu mzuri hasa Instagram naingia page zile mbovu mbovu kule nikiamini siwezi rudia maana najiamini sana maana naona hata iweje puli nilishaachana nayo na hainiwezi tena, Kumbe kiburi kinanipoteza sasa majuzi Tu Hapo, nikaingia page moja nikakutana na picha moja ya utata Kabisa shetani akatabasamu na Mimi nami nikamtabasamia akanisihi nijichujulie Sheria mkononi Basi nikamuitikia kwa kumpigia bao moja la mkono aisee sikutosheka nikapiga tena baade Tena nikarudia hadi siku nne mfululizo, nimejilaumu Sana na nimeumia Sana ,nikaona sina maana kabisa jitahada zangu zote zile nimerudia ushetani,nikajikuta roho inaniuma sana kibaya zaidi maumivu makali ya kichwa, magoti, kiuno na uchovu wa mwili wote na hasira muda wote.

Uamuzi niliochukua
Nimeamua nianze upya baada ya kubaini tatizo ambalo Ni kujiachia sana insta kule nimeamua kujipangia saa na wakati wa kuperuzi, Sitaki kujiachia Tena.
Naamini mwenyezi Mungu yupo nami Tena ktk mwanzo mpya.
Kama nikishindwa pia Hapo Basi nimedhamiria Kabisa Kabisa kufuta Instagram Mara moja baada ya kushindwa Tena.
Wajumbe naomba tuungane tena
Hongera pia mnaoendeleza challenge
Mm Kuna mtu mmoja alinioneshaga account fln ya tweteer bas bhna insta sizami Sana Wal insta balaa liko kwa Tweeter nashindwa kuikwepa zile account kila nikiwa na bando lazm nitembelee kule nione mjukano
 
Lete ushahidi

Ninafanya haya kwa ajili yangu, peke yangu, sioni tija ya kukuonyesha ushahidi kwamba nimepambana siku 64 and counting…..

Haitabadilisha kitu kama nikukupa au nisipokupa.

Uzi huu umenisadia kutimiza azma yangu, kwa ajili yangu.

Tunaokwenda pamoja, let us keep pushing [emoji1487][emoji1487]

Satisfied?
 
Sasa mbona bidii ya kutuangushia vitakwimu visivyo na evidence humu...kila baada ya masaa 24....boss!!! Back up your claims.. au cheza chini.
 
Sasa mbona bidii ya kutua ngushia vitakwimu visivyo na evidence humu...kila baada ya masaa 24....boss!!! Back up your claims.. au cheza chini.
Sielewi mantiki yako ni ipi, unataka ushahidi upi? Mtu akiamua kudanganya anaweza kuleta hizo screenshot za hizo app za kuhesabu lakini bado akawa anamwaga mbegu kama kawaida. Labda kama unataka upewe location ya mkuu ili uende uwe unashinda nae 24 hours ili upate huo ushahidi.

Just be inspired and not otherwise.
 
Sasa mbona bidii ya kutuangushia vitakwimu visivyo na evidence humu...kila baada ya masaa 24....boss!!! Back up your claims.. au cheza chini.

It won’t change a thing, jukwaa si lako na wewe sio muanzisha uzi.

Siangushi takwimu ili wewe peke yako uone, kuna wenzako ninakwenda nao nchi ya ahadi na kwa kuangusha takwimu nawapa moyo kuwa inawezekana.

Isipokupendeza wewe haimananishi kila mtu haitampendeza.

Naishia hapa.
 
Sielewi mantiki yako ni ipi, unataka ushahidi upi? Mtu akiamua kudanganya anaweza kuleta hizo screenshot za hizo app za kuhesabu lakini bado akawa anamwaga mbegu kama kawaida. Labda kama unataka upewe location ya mkuu ili uende uwe unashinda nae 24 hours ili upate huo ushahidi.

Just be inspired and not otherwise.

Exactly, Umenena vyema.
Miili yetu haijafungwa sensor ya kudetect unapomwaga mbegu ipeleke taarifa kwenye App,
Kwa hiyo hata ukimwaga mbegu still App itaendelea kukuhesabia tu no matter what ndio maana sikuona haja ya kuleta screenshot.
 
Back
Top Bottom