Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nyie kuna mwangu ambae ni hanidhi yupo nayee..... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] oyaa wangu tupige mashine
 
Mbegu haziishi we kula vzr , fanya mazoezi , lala vizuri , kua na mke mmoja au mwenza mmoja hata mkichakatana kila siku hakuna shida
 
Ahahah umezingua sana kamanda, hii itakuwa ulipita pita kwenye zile page za utupu maji yakazidi unga ukaona ujilipue

Sent using Jamii Forums mobile app
Eee mkuu, nimepita hivi nikacheki mavitu nikawa nakausha... siku ya tatu nikazidiwa...ikabidi nijilipue!!! Nimeona nipange mbususu flani ivi kimasihara, izi sku mbili tatu izi naenda kufanya mashambulizi...nijue kama naanza, nimeanza kweli aseee!!!

Yani bora kama unafunga goli, ufunge kabisa hatrick. Iyo mbususu imenitafuta yenyewe tu out of the blue nikaipiga kitu cha "naomba usajili apo, hata mechi ya kirafiki" nikaskia..."usiwaze"...ndio tuko kwenye mazungumzo ya kukamilisha usajili!!!
 
Mrejesho

Mpaka Sasa nimefunga mwezi moja bila kula mubususu

💯Faida
✨Sipigi nyeto

✨Siwazi madem, na wala Sina ufala wa zamani kutongoza tongoza

✨Nafanya mazoez na kula balanced diet, mabadiliko ya uume , umekua ukiongezeka saizi

✨Hata kubet nimeacha mana Sina stress, zamani stress za kubet zilikua zinaishiaga kuchakata mbususu, kitu kilichopelekea kuyumba kiuchumi

Nimegundua ukiwa hutongozi ovyo ovyo mademu, huwa kuwashobokei hii inakupa credit, wao ndio wa naanza kukusaka... Now kwenye inbox yangu zimejaa text za numekumiss, umebadilika sana siku izi..... Msimamo wangu Sitongozi demu now Nimeamua ni focus kwenye pesa tu.. Yaan I don't care
 
Back
Top Bottom