Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ukishafanya hiyo no fap upige na mazoezi alafu zingatia chakula na maji yani unarudi kama mtoto,ngozi itanawiri afya itakuwa nzuri nami naanza rasmi leo
 
Tuko pamoja mkuu japo me nilianza j3 ila katikat ya week nikajitungua nkaanza tena jana mchana nikaua apa ndo nimefungulia booster hatua ya kwanza nataka nipige 30days it means hadi January.11.023
View attachment 2442490
tupo pamoja mkuu, acha tutakase nafsi zetu vijana tuna malengo makubwa tukiendekeza matamnio ya nafsi tutashindwa kufikia malengo.
 
tupo pamoja mkuu, acha tutakase nafsi zetu vijana tuna malengo makubwa tukiendekeza upumbavu tutashindwa kufikia malengo.
Sure haya mambo ya kupizpiz yanatukwamisha sana sometimes tunajiona tumelogwa kumbe tunajiloga wenyewe.
 
Ok ntaelezea mabadiliko chanya, kifupi sikuweza kuacha Ngono kwa willpower nilishawahi sema hapa... Nimeweza kuacha kwa kuwa na Hofu ya Mungu, Then baada ya hapo yakatokea mabadiliko kama ifuatavyo:

Naokoa mda wangu sana, mda niliokuwa naupoteza nimeuamishia kwenye productivity, ambayo imensaidia
Kiuchumi
• Electronics e-commerce store ipo finishing stage kwenye Launching ntawawambia wengine mnaweza kuwa wateja humu.

•Nimepata appointment ya kwanza na mteja kwenye freelancing platform

Personal Growth
•Niko na tamaduni ya kusoma vitabu na vitu muhimu tu.
•Imesababisha niache habits mbovu za zaman ie Kunywa weekends, Kuangalia Movie all night

Emotional pros:
•Plan za kuwa na uhusiano na mtu mmoja

• Not attached na Material things siku hizi niko na value sana exprience & How to make impact.

Note: Kuacha Ngono tu haitoshi, sio ndio kutaimpact Maisha kumbuka kuvunja bad habits zote... Kama unabet acha, mcheza kamari acha, Mlevi acha then acha uvivu... focus on the work kama ni mfanyakazi na kama mfanya biashara focus on growing your business. Mabadiliko utakayoyaona you won’t go back.
Axis kubwa ya kuweza haya Ni Dini ukitumia akili yako utakwaam tu somewhere, you won’t make it that far.

 
Daaah[emoji17][emoji17] npo kwenye kuacha addicted ya ngono zembe na puringa ila Sasa nimekolea kwenye kubet yaan apo ndo naona akili yangu imejituliza baada ya kupita kipindi kirefu..

Mitungi naipiga siku Moja Moja nikiwa na furaha au kampani ya washkaji japo sipo addict.
 
Hongera Bro, vijana wengi tunapoteza muda, pesa na Baraka kwa kutotambua purpose of life. Life designed by god for a purpose then there was a sex, Life is beautfull and sacred as well as sex. But there is more to live than Sex, Sex becomes more Profitable when you understand life and become more destructive when you do not understand the purpose of Life. Tuna mengi ya kujifunza.
 
Ogopa sana Addiction ya kamari, Nilipambana kwa kipindi kirefu kujikwamua mpaka now nmeacha kabisa namdhukuru sana mungu. Ubaya wa kamari ni kuwa inadhalilisha immediately wala haikucheleweshi, Unaweza ukabetia hela ya Ada, hela ya watu maybe umetumwa au hela imepitia kwako ukasema ngoja nikaweke odd ya mbili ijidouble unakuja kustuka waletee. kinachofuata ni kudhalilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…