Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ila me iyo kwangu nawezaga kuivumilia maana nakumbuka nimeanza 2015 nkaacha nikarudi tena nkaacha naona hainitawali saaaana kimbembe kwenye ngono apo ndo nmelowea..Ogopa sana Addiction ya kamari, Nilipambana kwa kipindi kirefu kujikwamua mpaka now nmeacha kabisa namdhukuru sana mungu. Ubaya wa kamari ni kuwa inadhalilisha immediately wala haikucheleweshi, Unaweza ukabetia hela ya Ada, hela ya watu maybe umetumwa au hela imepitia kwako ukasema ngoja nikaweke odd ya mbili ijidouble unakuja kustuka waletee. kinachofuata ni kudhalilika.