Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nofap!
day 1,
nimepoteza opportunity nyingi sana kwenye maisha
sababu ya maovu mengi ya kingono,

nature inabalance maisha kwa kufanya nilipize(malipizi ya uovu huo)

I want to start another life (rebirth), dreams and ambitions

No porn, no masterbation, no sex

Nofap!

.
 
Kuna Challenge za kuiga, ila hii si iwezi.

Dunia haiwezi kuwa kama JELA kwangu,nateswa na Mengi sana siwezi jiongezea mateso mengine.
 
Wazee WA no Fap challenge.
Tunafunga mwaka kibabe
Screenshot_2022-12-31-19-16-55.jpg
 
Back
Top Bottom