bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
- Thread starter
- #281
Hapo cha kufanya mzee baba install app ya iron will uanze kuhesabu siku kwa ustadi na hamasa ya hali ya juu...... huyo ukimla utatamani umle tena na tena unajua shetani nae mjanja sana..... Akigundua tu kuna memba ameanza kuwapoteza anataka awarudishe kwa kasi ya ajabu kama hapo atakuletea mademu wote wakali ambao kwa mtazamo wako uliona hawa huwezi kuwatongoza kwanza ni levo za juu sana kuliko wewe....... Cha pili lifestyle yao ni ya juu mno kufananisha na yako, kwa kifupi uliona kabisa huwawezi.Ngumu saana ila kaza.. mi nilianza nikakaa siku tatu tu.... Kuna demu nilikuwa namtamani kisee., Akanichek nimtoe ... Balaa likaanzia hapo nimkazie au vip.
Na hadi that time alikuwa ashakula 45elf yangu na nimewinda miezi 6.
Nkavunja.
Lakini sasa hivi shetani kwa kuona memba wake wanazidi kupungua leo atawatuma hao hao mademu uliowaona ni wa levo za juu huwawezi waje wakutongoze wewe na lazima utakubali.
Ndugu kataaa hiyoooooo.
Install Iron Will app.
And then...........#NoFap