Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Acheni hizooo, sasa mnataka wanawake wale nini....!!

Wakale wapi...!!!

Halafu utamu wa Ke aukulenani....??!

Ngoja nikawasemee...
Si mkasuguane wenyewe hii challenge inabidi iwe nationawide.

Tuone reaction itakuaje[emoji2]!?

Halafu good way undergo default settings economically [emoji2](kwa kimgereza cha ntantilyabashashi)
 
Screenshot_20220525-150607.jpg

Ngoja nijaribu hiki kituko nione ntamaliza baada ya muda gani!
Nilianza jana saa sita usiku!
 
Kweli hili vuguvugu liki serious mpaka Apps aisee, nimeona app inaelekeza vizuri ngoja tuone nitafikia cheo gani, still new kid
Noma sana ile app ya Iron Will ina rank za kutia hamasa vibaya mno yaani zinakuoa mzuka wa kuendelea na kufikua rank inayafuata.... mimi naitamani sana rank ya siku 500 na kuendelea inaitwa The Immortal.
 
Nyie mnataka maisha yawe magumu, wanaume wenyewe mpo wachache, challenge kama hizi hebu ziacheni.

Sisi hatujakubaliana na challenge yenu ni batili kwa kweli.
Hii challenge ni lazima tuifanye maana tumegundua faida zake ni nyingi saaaana yani saaaanaaaaaa kuliko tukiendekeza huko chini, na pia inasaidia kuondoa uraibu wa vitu vingi kama pombe, pornography, punyeto, na mauraibu mengine huku hivyo tungewaomba muwe wapole kidogo.
 
Hii kitu imekaa poa sana kwa kweli hasa kwa sisi mabachelor na hata walio ndoani ila kwa mlengo mwengine tofauti aidha kuacha ulaibu fulani, mazoea n.k. Of course ukiamua kwa nia ya dhati u can do it possibly.

Nakumbuka mwaka 2019 kipindi hiko mazoezi kwa sana niliwahi kaa miezi tisa mfululizo yaani ni mwendo wa mazoezi daily kupumzika ilikuwa ni J pili tu hakuna kusex wala kumasturbate. Utofauti au faida nilizoziona ni pamoja na>

•Confidence kuongezeka maradufu
•Stamina ya hali juu
•Utulivu wa akili (Focus)
•Strong penis(Ni kama ndio kwanza unabaleghe)
•Afya nzuri ya moyo na mapafu kutokana na mazoezi ya mara kwa mara.
•Wepesi wa mwili na akili.
•Ngozi yenye afya
•Saving ya uhakika kutokana na kutofanya starehe za hovyo mfano Ngono, kuhonga, pombe n.k.
•Uhakika wa kutimiza malengo yako muhimu ya kimaisha kutokana na kujitenga na starehe zisizokuwa na msingi.

√Ni vizuri zaidi unapoianza hii challenge uwe na lengo mahususi mathalani kuacha addiction fulani kwa wale wenye addiction au kutimiza lengo fulani aidha kuwa na consistency nzuri kwenye mazoezi, ibada au shughuli zako zozote zile za kila siku.
Shukrani sana mdau kwa elimu konki kama hii vipi lakini unaendelea au ulisimama kidogo!!!!?
 
Ngumu saana ila kaza.. mi nilianza nikakaa siku tatu tu.... Kuna demu nilikuwa namtamani kisee., Akanichek nimtoe ... Balaa likaanzia hapo nimkazie au vip.

Na hadi that time alikuwa ashakula 45elf yangu na nimewinda miezi 6.

Nkavunja.
 
kampeni na iendelee kwa kufanya hivi;

#NoFap kwa kila nyuzi humu jf hasa za MMU

mm ntaanza challenge tareh 1 june
Karibu sana mdau tuko pamoja kwenye hii njia pia tuna app ambayo tunaitumia kuhesabu siku incase mtu una shughuli nyingi unaweza ukapitiwa ukasahau leo siku ya ngapi.... sasa hii app ukifungua inakwambia leo ni siku ya ngapi na pia kwa siku hizo kuna rank yake na hiyo rank ina jina lake la kibabe sana la kukutia hamasa...... hiyo app inaitwa IRON WILL ipo playstore #NoFap.
 
Back
Top Bottom