Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
NoFap ina nguvu kubwa na faida katika mambo mengi mkuu, watu wengi kwenye historia ni kweli walitumia mbinu hii ku-channel energy kwenye mambo mengine na iliwasaidia sana kuleta raw ideas kwenye maisha halisi.Kabisa mzee baba ndiyo maana katika historia ya mike tyson kipindi kile wamoto hapigiki pamoja na ufupi wake lakini alipiga majitu makubwa alikuwa na nguvu ajabu kumbe bwana kocha wake alimwambia asimame mambo ya kutiana tiana na atunze zile mbegu atakuwa mtu bora sana na tyson akatii agizo la mwalimu ebwanaeeeeee watu walipigwa mpaka wakamwita iron mike tyson kumbe sababu iliyomfanya kuwa bora ni moja tu.......... jamaa kipindi kile alikuwa ni memba wa rank za juu sana za team NoFap.
Unapomwaga shahawa umemwaga energy kubwa sana, unakuwa dhaifu kiroho, kimwili, sometimes kiakili hata kimtazamo.
Kwa hiyo Nofap pia itakupa benefits nyingi sana, unakuwa more resilient, hata kwenye changamoto za kimaisha unakuwa unajiamini zaidi.
Nakumbuka kuna padri mmoja aliwahi kuniambia, "ukiweza kuishi bila kukutana na mwanamke kimwili, nguvu ya kiroho utaipata kubwa sana." Na kweli kuna kipindi nilikaa muda mrefu kuna faida niliziona kweli.