Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mzee baba ndiyo maana katika historia ya mike tyson kipindi kile wamoto hapigiki pamoja na ufupi wake lakini alipiga majitu makubwa alikuwa na nguvu ajabu kumbe bwana kocha wake alimwambia asimame mambo ya kutiana tiana na atunze zile mbegu atakuwa mtu bora sana na tyson akatii agizo la mwalimu ebwanaeeeeee watu walipigwa mpaka wakamwita iron mike tyson kumbe sababu iliyomfanya kuwa bora ni moja tu.......... jamaa kipindi kile alikuwa ni memba wa rank za juu sana za team NoFap.Faida ya NOFap ni kwenye mazoezi, misulii inajaa haraka na Stamina kwenye mazoezi inakuwepo.
Kila la kheri!!!Tunaamini ukishakata mwezi mmoja tu huko mbele ni mteremkoo. team NoFap
Aaaaa huyo lazima alianza kuchokonolewa kitambo sana na wajomba zake huko.... gay hawezi survive team NoFap..... maana haitapita hata siku mbili atahitaji ujiuji mzito mweupe ummwagikie kule.Kuna gay alianza hivi hivi shauri yako [emoji23][emoji23]
No Mercy In This Challenge yaani mtatuvumilia kwa muda mrefu saaaaana tena tunaweza tusiwale kabisa sasa...Na itabidi tu muwe wapole kama sisi tunavyokuwa wapole wakati tunasubiri majibu ya mitongozo yetu toka kwenu.Sasa mkijiunga na hii challenge wanaume wote wanawake tutahudumiwa na nani wakuu? Tuhurumieni mjue
Kasi ya mitongozo lazima ipungue... mitaani tunaweka mabango kabisa kidogo kidogo kuanzia kwenye miji mikuu mpaka mabango yote yaenee nchi nzima kwenye nguzo za umeme yakisomeka NoFap itaboresha maisha yakoNgoja tuone kama kasi ya mitongozo itapungua huku jf na mtaani
Uzuri kampeni zenu zote wawezeshaji ni sisi hivyo tutaweka vikwazo kote kuanzia ngazi ya Tarafa, Mitaa, Wilaya, Mikoa, hadi ngazi ya Taifa na hatimaye duniani kwa ujumla kote bango litakuwa ni team NoFap for LifeNitaanzisha kampeni ya kupinga hii harakati yenu. Na hamtafanikiwa. Mnatuachaje achaje sisi kinamama ?
Vipi Pierre LIKWIDHakunaga
Unafanya maagano kabisa au sio. Kuna app tunaitumia kuhesabu siku kama utajoin unaweza kuipakua inaitwa IRON WILL.
NoFapHujaweka jina la hiyo app inaitwaje
Hehehe mmeamua ila asee hamfiki mbaliKasi ya mitongozo lazima ipungue... mitaani tunaweka mabango kabisa kidogo kidogo kuanzia kwenye miji mikuu mpaka mabango yote yaenee nchi nzima kwenye nguzo za umeme yakisomeka NoFap itaboresha maisha yako
Haya maamuzi ya kutocheka na nyani.. kuna jitu litakufaWakale walikopeleka mboga mkuu.
Ukiamua inawezekana, ila hii ni vile my waifu wangu yuko mbali, akiwepo siwezi acha kunyoosha goti.Aisee nitafurahi sana nikizikata hizo wiki 4 maana safari ndiyo imeanza hivi.....
Nimeikagua sana hiyo app naona bado haaifikii IRON WILL hata kidogo......... Maana iron will ina hadi rank zake mzee na zina majina ya tittle kali sana za vyeo vya juu kijeshi na kivita za kukutia morali ajabu...... yaani ukikaa siku 30 katika malengo ya kuacha jambo fulani zina rank na tittle yake nzuri sana ya kutia moyo inakupa morali moja kali sana..., siku 60 rank yake ina tittle yake moja hiyo pia kali sana ya kibabe, hivyo hivyo siku 90 na kuendekea. ila stage yao ya mwisho ni mtu akikaa siku 500 na kuendelea kwenye malengo aliyojiwekea eidha ni NoFap au kitu kingine huyo anatambulika kama THE IMMORTAL.Kwahiyo ww ulikuwa unatumia kichwa kuhesabu chukua kitu hicho ndio kizr zaidi