Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

[emoji3]Tupambane tu
Ile kitu ilifikia mahali nakosa confidence kabisa yani, siwezi kufanya eye contact na mtu, Yani mtu alimuona tu anajua sijiamini kabla ata ya kufungua mdomo, pesa Sikai nayo, Yani nikitaka kitu siwezi subiri, nataka hapo hapo. Yani nilijaribu zaidi ya mara 10 kuacha, nikishika simu tu kosa, pornhub, xvideos, zile za amateur homemade couples , aloo. Sijaamini nimetoboa mwaka mzima bila kupiga hiyo kitu. Japo urge inatokeaga, ata naweza kuingia kabisa kwenye pornsite, ila nashindwa kupiga kitu. Mapepo ya succubus na incubus ni hatari. Yanaleta mikosi asikwambie mtu.
 
Me nikitoka job ni mazoezi na nkiwa free nikuwa online na kucheza dls24 basi
 
Duh ulikua umeathirika sana mkuu, kitunguu swaumu kinasaidia nini
 
At the fountain of blissful life.

I have never been this happy and content with life throughout my life.

Meditation + No faps = ecstatic + meaningful life

Jaribu miezi mitatu mfululizo utaleta mrejesho hapa.
Tafiti zinasema wasioshiriki wanakua na msongo wa mawazo na kutojiamini iweje wewe una furaha au unashindwa kutofautisha furaha na vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…