Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mwaka Jana nimefanya sana hiyo challenge Ila ilikua ikifika miezi miwili na relapse
Mwisho wa siku nikaja kugundua ni ngumu sana rijali kuish bila kula demu au jerking off maana unaweza kubaka kabisa ilifika hatua nikawa natamani kila demu had wamama
Narekebisha kauli Nofap inawezekana nipo siku ya 67 bila michezo michafu nimeammua niwe kijana mwema kwangu na kwa mke wangu wa baadae
Screenshot_20231222_221744_I Am Sober.jpg
 
Ofcourse inasaidia sana,,
Nilijaribugi mwaka jana nilikaa kama 60 ñilikuwa najihis mwenye nguvu sana,self acceptance, watu wangu wa karibu wakaanza kusema mbona nimebadilika hasa wanawake sauti yangu ilikuwa very clear hata mm nilinotes hichi kitu, sema nikaacha sasa wacha nianze tena leo mpaka siku 60😅😩
Anza mkuu mimi leo nipo siku ya 67 nimejaza sobriety tracker kwenye simu
Screenshot_20231222_223613_No Relapse.jpg
 
Ofcourse inasaidia sana,,
Nilijaribugi mwaka jana nilikaa kama 60 ñilikuwa najihis mwenye nguvu sana,self acceptance, watu wangu wa karibu wakaanza kusema mbona nimebadilika hasa wanawake sauti yangu ilikuwa very clear hata mm nilinotes hichi kitu, sema nikaacha sasa wacha nianze tena leo mpaka siku 60[emoji28][emoji30]

Mkuu safari hii kuna wakati majaribu ni makali Yaani shetani anakukaba koo kuchomoa ni mbinde [emoji1787]

Nasema Christmas ilibaki nukta niharibu challenge, Nashukuru haikutokea. Nazidi kuimarika.
 
Ebu nianze lengo 1 year[emoji28]

Ukidhamiria unaweza.

Meditation is a key as it gives you consciousness and alertness to your thoughts and habits. Practice it as much as you can.
Eventually you’ll come to a realization that you can control and train your mind how to act and respond to external stimuli but mostly important your internal thoughts is under your own control.

A ship doesn’t sink because of water around it but once the water get in it sinks. Same to your mind, external environment around us is similar to water around the ship but once we allow external turbulence to get into our minds it’s when we sink into toxic habits such pornography, masterbution, random sex etc
 
Back
Top Bottom