Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Narekebisha kauli Nofap inawezekana nipo siku ya 67 bila michezo michafu nimeammua niwe kijana mwema kwangu na kwa mke wangu wa baadaeMwaka Jana nimefanya sana hiyo challenge Ila ilikua ikifika miezi miwili na relapse
Mwisho wa siku nikaja kugundua ni ngumu sana rijali kuish bila kula demu au jerking off maana unaweza kubaka kabisa ilifika hatua nikawa natamani kila demu had wamama