Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hongera mkuu, kwani huna mke au dem na kama huna huna hivyo vyote viwili unategemea kuendelea na hii chalenge mpaka lini
Kwani wanawake zetu wa kwenye ndoa si wanalalama waachoka sana, ukimchapa halafu ana majukumu ya ndani wanakua na kisingizio wanachoka mbona ni rahisi tu
 
Wakati mwingine ukisema uende mwenyewe utafeli inabidi umtangulize Mwenyezi Mungu kwanza kwa kila jambo na hatua hata kutoa sadaka kidogo hata kuwapa watoto vipipi kwa kupiga hatua kama Shukrani .

Mimi nilianza kibishi nikatoboa miezi kama sita hivi basi nikajiona bonge la mwamba kibri kikawa juu nikajiona shetani haniwezi tena na hakuna mahala nitakapokamatika maana nina upiga mwingi.

Kuna siku mdau wangu nilimuazima simu yangu alitumia baada ya muda akanirejeshea , sasa nipo ghetto nimeingia upande wa video nikaona kitu kigeni nikajiuliza ni nini ngoja nikaclick chap ikaja porno kumbe mchizi alikuwa anachrki Moja alidownload na akasahau kuifuta dah! shatani alinizidi nguvu na arosto ilikuwa kubwa basi kulikuwa na wese pembeni nikasema ngoja nijiongeze chap maana siwezi kuwatch bila kustua .

Siku hiyo nilipiga hiyo kitu kwa ufanisi mkubwa sijawahi kupiga masterbation ya kiwango cha Fifa tokea nizaliwe kama ya kiwango kile wazungu wazito kama wamelamba asali. Baada ya kumaliza nilijuta kinyama jitihada zangu za miezi 6 kukatika kwa muda mfupi nilijiona bonge la boya nikamlani mchizi ile mbaya nikajipa moyo nikasema kujilaumu hakutosaidia ngoja nianze kweli kwa vile wiki ijayo ni mwezi wa Ramadhani unaandika tarehe ramsi ya kuanza na natubu kila kitu pamoja na kumtangiliza Mungu na dua nyingi ile mentality ya kujikweza mimi mwamba nikaitoa kauli yangu ikawa"Hakuna uwezo wa kuepuka maovu wala nguvu ya kufanya mema isipokuwa kupita Mwenyezi Mungu muwezawa yote" pamoja na hilo mimi mwenyewe nikajiwekea mikakati madhubuti ya kutoboa.

Tokea hapo mpk sasa nakaribia mwaka wa tatu hali hii nimeizoea kabisa na faida naziona muda si mrefu nakaribia kuvuta jiko.
Miaka 3 bila kula mbususu mkuu kuwa serious
 
Mtandao wa Wikihow unasaidia sana una nondoz nyingi ya maswala ya saikolojia na emotions . Hata nilivyoanza hii kampeni kuna baadhi ya nondo za nilichukua huko ili kujiweka imara zaidi pale katika kila jambo wewe type kwenye search button "How to ....." unakutana na details za uhakika kutoka kwa wataalamu mbalimbali.
Wikihow ni application
 
Huu uzi umenishangaza sana, kwa hiyo mwanaume hawezi kukaa miezi kadhaa pasipo kusex [emoji848]
Ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kukaa bila ku sex mwezi na zaidi.

Yani kwa kifupi mwanaume ukishabalehe unaanza harakati za mapenzi.

Ukijifanya mgumu shetani anakutumia mwanamke kwenye ndoto asubuhi unajikuta ushapiga bao.

Ukijifanya hutaki mwanamke shetani anakutumia pepo la nyeto utapiga tu bao.

Ukijifanya unawahi mapenzi shetani anakutumia mwanamke usiyeendana naye unajikuta mpaka unaoa ushachakata mbunye kadhaa...

Kifupi hakuna mwanaume aliyebalehe ni bikra either atolewe na ndoto nyevu au na mkono au na mwanamke....

By the way bwana ako kwa wiki anakuchakata mara ngapi?
 
Wakati mwingine ukisema uende mwenyewe utafeli inabidi umtangulize Mwenyezi Mungu kwanza kwa kila jambo na hatua hata kutoa sadaka kidogo hata kuwapa watoto vipipi kwa kupiga hatua kama Shukrani .

Mimi nilianza kibishi nikatoboa miezi kama sita hivi basi nikajiona bonge la mwamba kibri kikawa juu nikajiona shetani haniwezi tena na hakuna mahala nitakapokamatika maana nina upiga mwingi.

Kuna siku mdau wangu nilimuazima simu yangu alitumia baada ya muda akanirejeshea , sasa nipo ghetto nimeingia upande wa video nikaona kitu kigeni nikajiuliza ni nini ngoja nikaclick chap ikaja porno kumbe mchizi alikuwa anachrki Moja alidownload na akasahau kuifuta dah! shatani alinizidi nguvu na arosto ilikuwa kubwa basi kulikuwa na wese pembeni nikasema ngoja nijiongeze chap maana siwezi kuwatch bila kustua .

Siku hiyo nilipiga hiyo kitu kwa ufanisi mkubwa sijawahi kupiga masterbation ya kiwango cha Fifa tokea nizaliwe kama ya kiwango kile wazungu wazito kama wamelamba asali. Baada ya kumaliza nilijuta kinyama jitihada zangu za miezi 6 kukatika kwa muda mfupi nilijiona bonge la boya nikamlani mchizi ile mbaya nikajipa moyo nikasema kujilaumu hakutosaidia ngoja nianze kweli kwa vile wiki ijayo ni mwezi wa Ramadhani unaandika tarehe ramsi ya kuanza na natubu kila kitu pamoja na kumtangiliza Mungu na dua nyingi ile mentality ya kujikweza mimi mwamba nikaitoa kauli yangu ikawa"Hakuna uwezo wa kuepuka maovu wala nguvu ya kufanya mema isipokuwa kupita Mwenyezi Mungu muwezawa yote" pamoja na hilo mimi mwenyewe nikajiwekea mikakati madhubuti ya kutoboa.

Tokea hapo mpk sasa nakaribia mwaka wa tatu hali hii nimeizoea kabisa na faida naziona muda si mrefu nakaribia kuvuta jiko.
Ngono hufanyi kwa miaka mitatu au ni masterbation ndio hujafanya miaka mitatu sasa?
 
Ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kukaa bila ku sex mwezi na zaidi.

Yani kwa kifupi mwanaume ukishabalehe unaanza harakati za mapenzi.

Ukijifanya mgumu shetani anakutumia mwanamke kwenye ndoto asubuhi unajikuta ushapiga bao.

Ukijifanya hutaki mwanamke shetani anakutumia pepo la nyeto utapiga tu bao.

Ukijifanya unawahi mapenzi shetani anakutumia mwanamke usiyeendana naye unajikuta mpaka unaoa ushachakata mbunye kadhaa...

Kifupi hakuna mwanaume aliyebalehe ni bikra either atolewe na ndoto nyevu au na mkono au na mwanamke....

By the way bwana ako kwa wiki anakuchakata mara ngapi?
Duh! Hatari
 
Daah..leo shetani kanikalia vibaya sana nimeponea chupu chupu kupiga nyeto kama sio mwanangu kunitembelea gheto nilikuwa nimekwisha. Hapa nawaza usiku itakuwaje ngoja niangalie ustaarabu wa kutafuta hifadhi kanisani
 
hii nzuri, ila mawazo na mipango yote huwa inahamia wa kuja kumzindua baada ya No Fap hata ya miezi mi3.. Mimi niliwahi ila nilikuja kuivuruga wiki ya 3 shetani alitumia nguvu kubwa dem niliyemfukuzia kitambo tuko chuo akanitumia msg kanimis akaongeza yupo njian anakuja mkoa wangu kwenye interview nimtafutie pa kufikia, nikajisemea kimoyomoyo hii No Fap nitaianza upya siku nyingine.
 
Hatuwali tena.

Tumegundua kumbe tunajimaliza wenyewe kisha tunakufa mnabaki nyie. Tumezoea kusema aaaaah yule dem nimesha mla lakini kinyume chake sasa sisi wanaume ndo tunakuwa tumeliwa.........

Maana tunapofanya mapenzi mwanamke yeye ana GAIN wakati mwanaume ana LOSE na ndiyo maana babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii. so what the hell is this!!!!!!?
Na kwa wenye wake wanafanyaje?, mana utaweke ratiba ngumu kwamba hutaki kusex , mke anakwambia nataka. Unamwambia niko kwenye no fab
 
Daah..leo shetani kanikalia vibaya sana nimeponea chupu chupu kupiga nyeto kama sio mwanangu kunitembelea gheto nilikuwa nimekwisha. Hapa nawaza usiku itakuwaje ngoja niangalie ustaarabu wa kutafuta hifadhi kanisani
[emoji23][emoji23][emoji23] Hahha kaka Komaa ukipitisha hii siku moja yenye mzuka wa nyeto basi kuanzie kesho unazoea hali

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Ngono hufanyi kwa miaka mitatu au ni masterbation ndio hujafanya miaka mitatu sasa?
Ni vyote kwa pamoja , tena wakati nataka kuanza nikasema ngoja nitest mitambo kwa demu mmoja mzuri kila idara alikuwa kama Wema kwa mtaa wetu kila mtu anatamani kuwa nae kwa gharama yeyote ile nikasema ngoja niende kama akikubali itakuwa kheri anikataa itanipa hasira ya kuwachukia wanawake na kufocous kwenye mambo ya msingi na kutafuta hela .

Kwa jinsi anavyojikuta nilikuwa na uhakika kuwa atanipa za uso tena KO kali sana ila nikasema ikiwa hivyo itanipa maamivu ya kukataliwa .Kweli akanipa KO mbaya sana nikaanza rasmi kujijali mwenyewe confidence ikaongezeka na baada ya muda kuona mambo yangu yamenyooka wakawa wanajirahisisha ila kila nikukumbuka mwenzao alichonifanyia nasema Yes ngoja niwajaze niwape KO na mimi nilipize kisasi sitaki tena upuuzi sasa nafocous kwenye life na future yangu mpk sasa haina kufeli sina mzuka wala para nafanya mambo yangu kwa umakini na utulivu.
 
Daah..leo shetani kanikalia vibaya sana nimeponea chupu chupu kupiga nyeto kama sio mwanangu kunitembelea gheto nilikuwa nimekwisha. Hapa nawaza usiku itakuwaje ngoja niangalie ustaarabu wa kutafuta hifadhi kanisani
😂😂😂😆😂😆
 
Nyeto mnazipenda wengi wenu, kwani papuchi zimekua bidhaa adimu ama dau lao limepanda
 
Huu uzi umenishangaza sana, kwa hiyo mwanaume hawezi kukaa miezi kadhaa pasipo kusex [emoji848]
Inawezekana vipi madam? Ikiwezekana basi umekaza, sisi maumbile yetu yana chagizwa haraka kutamani nyie vyenu mpaka mtekenywe
 
Back
Top Bottom