Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

20 iyo
Screenshot_20220621-163657.jpg
 
Juzi ile asubuhi nikawa naota nataka kuchakata Mbususu ile foreplay nini inaendelea nataka niweke tu... nashtuka simu inaita

Nilikasirika Mbaya, i’m not supposed to have sex kwenye real life na hata Kwenye dreams pia nakatishwa[emoji26]
Sometimes hata ndoto za kula misosi mizuri ile unanawa mara unakurupuka usingizi unakata hio inakera sana..
 
Huu ukimya wa mtoa uzi unanipa mashaka nahisi atakuwa kafeli tena second time kifupi ni kwamba katusaliti kama sio kwa mbususu bac ni kwa bao la mkono
 
After miezi sita unakuja piga moja la game la viwango vya FIFA kabisa tena la kuunga, then unarudi kwenye game una rejuvenate health strongly , sex nikuiendekeza ndiyo inakufanya unakua mzembe , baada ya hapo nikujijenga upya tena ki afya zaidi mimi naichukulia hii challenge katika kunijenga kiafya zaidi kutokana nature ya kazi yangu nahitaji ubongo uwe sharp sana
 
Kwahiyo timu no fap tunakubaliana tutafune mbususu baada ya muda gani
 
Aisee siku hz night mpaka alfajiri dushe linasimama wima halafu mabao ya usingizini yamekuwa yakutosha hz siku mbili zote nimechafua shuka.
 
Jamani hii challenges siku ya tano, naota niko bar nimelewa natongoza mademu wakigoma natoa dushe wanacheka...

Mmoja akanikubali, ila anaishika hv karibu ejaculation ianze nikashtuka..yaani, nikachukia kinomaaa

Ila inanisaidia, toka nianze sijanywa pombe siku hizo tano, mwili una nguvu na confidence na wasiwasi unapotea.

Asante mleta uzi.
 
Leo Rasmi naingia cheo cha Knight, Mambo magumu ila namuomba Mungu anitangulie, Nilipoanza takribani wiki 2 zilizopita, nilikua lengo nijizuie hadi itakapomalizika Eid El Hajj, ila saivi nimeongeza nataka nifike 2 months kwanza.
Screenshot_20220623_103328_com.emeraldislestudio.fapcounter.jpg
 
Back
Top Bottom