Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Tuko pamoja wadau,me naendelea nimeikata siku
Screenshot_2022-08-17-15-14-49.jpg
 
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.

NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.

View attachment 2259037
Nikupe pole tu
 
Kutoka zenyewe sio shida.... shida ni kuzitoa wewe kwa kuamua maana huwezi piga bao tatu kwa ndoto nyevu pekee ila ukiwa juu ya kiuno cha demu hapo zinapigwa hata bao nne na zaidi kitu ambacho sio kizuri kwa afya ya mwanaume hata kidogo.
Kwa mwanaume wa 40-50 akipiga Moja akalala nisawa Nofab. Mana wakimaliza Moja hoi
 
Hivi kuna na wengine ambao mnajizuia kupiga nyeto pale mnapokutana na picha za namna hii mtandaoni ama ni mimi mwenyewe?[emoji16][emoji16]
images.jpg
 
Back
Top Bottom