Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

wa hiyo unataka kusema waliooa wote Wana hayo matatizo ?
hapana, siwezi compromise carrier yangu kwa mtu baki nnayekutana naye ukubwani
siwezi amini mtu, isipokuwa BabyCare
siwezi share pesa zangu na mtu flani flani nnayekutana naye ukubwani

Mimi na Nyeto Daima
 
uliwezaje mzee saidia wana hili pepo litatumaliza
Ili uweze kustahimili una hitaji[emoji116]
1.𝗞𝘂𝗷𝘂𝗮 𝗺𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗮 𝘆𝗮 𝘂𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝗸𝗶𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮
[emoji3591]Sababu kama ukiona unachokifanya hakina madhara basi utaona hakuna haja ya kuacha utamu unao upata.

2 .𝗨𝗮𝗺𝘂𝘇𝗶 𝘂𝗹𝗶𝗼 𝗱𝗵𝗮𝗯𝗶𝘁𝗶 , yani fanya maamuzi kutoka moyoni kwamba naacha hichi kitu kwanzio leo mpaka muda fulani(hata kitokee nini)
[emoji3591]Maana ukiamua kuacha ndo unashangaa kuna vitu vinatokea tu ili mradi urudi kule kule.

3 .𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 , bila Mungu utakuwa unafanya kazi bure
[emoji3591]Muombe sana Mungu naye atakusaidia kwenye safari yako hasa hizi safari za muda mrefu

4. 𝗨𝗯𝘂𝘀𝘆 unasaidia sana kwenye hii challenge , yani utakusaidia muda mwingi usiwaze au kupata muda wa kutaka kufanya hivyo vitu.
Yani hata ukipata muda basi utakuwa unawaza kupumzika tu ili kesho upate nguvu ya kufanya kazi zako.

Ni hayo tu ya umuhimu sana , mengine ni ya kuongezea ongezea.
 
Finally nimetimiza lengo langu
Haikuwa rahisi ila nimeweza[emoji123]
Screenshot_20231106-233237.jpg
 
Komaa kuwa busy ikiwezekana badili marafiki. Kuwa na marafiki ambao mnadiscuss maisha in gerneral na activities za maendeleo. Sijisifu lakini hii kitu imanipa uwezo mkubwa sana kitandani.
Bado sijasaliti challenge mkuu matunda nayaona
 
Hii challenge ilifanya niache Bakari Nondo nikahamia kwa madem nakung'uta balaa kila siku yaani kwa mwezi naweza sex siku 26-27
 
Imekusaidia au imekuongezea kutu
Kwakweli imenisaidia MasterB inamadhara sana kwanza ndonga ilikuwa inasimama kichovu sana lakini sahivi nipo fine na hata nikipiz naweza kuunga, pia confidence imeongezeka kiasi kwamba hata wanawake walionizidi umri naona nawaweza kwenye show apa nilichopungukiwa ni pumzi tu ambayo inabidi nifanye sana mazoezi niiongeze..

MasterB ndo kitu jau sana yaani pambana mtu uweze kuiacha
 
Hapo sawa, sasa kazana na pushup,situps, run nk kuongeza pumzi

Mimi nipo fiti sana labda kwa kuwa sichepuki, mtanange wangu wife huwa anakimbia kabisa, akimaliza anakua kama anatafakari ila ni uchovu, anasema nampania sana kumbe wala ni vyakula, zoezi na kutotumia masterb
 
Kabisa nina plan ya kuanza mazoezi, pia uwa natumia kitunguu saumu asubuh pia maji nakunywa sana kwa kiwango kikubwa naiona improvement maana nilipotoka ilikuwa ni masterB kwa sana yaani ilifika Kipindi usiku lazima nishtuke nipige ata viwili ndo ntalala vizuri(msongo wa mawazo)
 
Back
Top Bottom