Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana. Fedha nyingine zimeenda kununua magoli.Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?View attachment 3168118
Sababu ni CCM kutoendesha nchi kisayansi. Hakuna mipango. Wanaweka shule na vyuo vingi, ambavyo havina quality. Matokeo yake ni wahitimu wengi wasio na sifa za kuajiriwa nchini, nje ya nchi na hata mbinguni. Wao walidhani vyuo vikuu ni majengo.Magufuli ndiye sababu ya yote haya.
Uhaba wa ajira Tanzania ulipaswa utokee miaka 20 mbele sio sasa.
Jamaa alipozichakaza sekta binafsi kuanzia 2016 ndipo ajira ikaanza kupiga chenga nchini.
Mimi nimeajiriwa 2015 , nafasi zilikuwa 16 , kwenye usaili tuliitwa 20 tu na tuliohudhuria tulikuwa 5 tu.
Weka tangazo sasa hivi la ajira ya serikali hata kama ni kuzibua choo utaona ummati wa watu
Ndio 😂Laki moja?
kwa siku au?
Basi ilo ni bonge la diliNdio 😂
Kuna watu wanatufata nafasi zakujitolea na hawapatiUtashangaa zaidi ukipiga simu ukaambiwa nafasi zimejaa
Huyo mwandishi mwenyewe naona shule imempiga katafunua, hajui hata kuandikaHivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?View attachment 3168118