Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

Magufuli ndiye sababu ya yote haya.
Uhaba wa ajira Tanzania ulipaswa utokee miaka 20 mbele sio sasa.
Jamaa alipozichakaza sekta binafsi kuanzia 2016 ndipo ajira ikaanza kupiga chenga nchini.
Mimi nimeajiriwa 2015 , nafasi zilikuwa 16 , kwenye usaili tuliitwa 20 tu na tuliohudhuria tulikuwa 5 tu.
Weka tangazo sasa hivi la ajira ya serikali hata kama ni kuzibua choo utaona ummati wa watu
 
Sababu ni CCM kutoendesha nchi kisayansi. Hakuna mipango. Wanaweka shule na vyuo vingi, ambavyo havina quality. Matokeo yake ni wahitimu wengi wasio na sifa za kuajiriwa nchini, nje ya nchi na hata mbinguni. Wao walidhani vyuo vikuu ni majengo.
 
Aisee itakua wanatoa chakula, nyumba, nguo, bima afya, usafiri japo kapikipiki na mafuta yake, ila hata kama ukiweka yote hayo laki kweli?? Mhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…