Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

Laki moja unatoboa mzee maisha sio lele mama, ukiona haitoshi jua upo pazuri zaidi ila kuna vijana wanazungusha bahasha kutafuta sehemu ya kujitolea bure na hawaipati
 
Usitutafutie ban, Magufuli anahusikaje hapa?
 
Usitutafutie ban, Magufuli anahusikaje hapa?
Magufuli anahusika hapa kwa 100%
Why?
Kwasababu mada hii imetokana na tangazo la ajira ambalo lipo kama dhihaka fulani.
Kabla ya utawala wa Magufuli walimu private school walikuwa wakilipwa mshahara mkubwa kuliko walimu wa serikalini ili kuwavutia. Lakini tangu jiwe aingie madarakani walimu wapo kama mbu mtaani, kila siku wanapigana vikumbo private schools kuomba ajira na internship
 
kama wanakupa chakula na pango bule hizo ni nyingi sana kwa jobles kutoboa kwa mtu niakili tu na maarifa
 
Kuna shirika moja nalijua nje ndani nao wanalipa kiasi hichi hichi na walimu wanagombania nafasi kuingia kwenye shirika lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…