Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Aah sawa
Yupo,ila ilikuwa inatamkwa kwa kutaja yeye...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo,ila ilikuwa inatamkwa kwa kutaja yeye...
Kwani imeshakukuta hiyo?Utapewa mkuyenge uukalie ndio tatizo litaanzia hapo
Huyo mwanamke hakupendi na sio loyal kwako, yuko kwako kwa sababu nyingine anazozijua mwenyewe.Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni.
Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife mnyonge anatokwa tu na machozi na kamasi. Kumuuliza akanambia kuna msiba. Nlishtuka,nikaruka kitandani kukaa na kumuuliza nani tena kafariki. Akanijibu "Rais amefariki"
Nikashusha pumzi na kumshika begani nikitaka atulie kwa kuwa tu nlijua alichelewa pata Taarifa.haya niliyasema moyoni.
Asubuhi nikaamka na kuomba tendo la ndoa. Akanikatilia kabisa akidai naweza mwomba tendo hilo na Nchi inaomboleza. Akaenda mbali na kusema mimi sina Utu. Amenisema sana.
Nmeumia sababu kila mtu ana namna yake ya kudeal na huzuni. Si lazima zifanane. Mimi nikiwa na huzuni napenda kufarijika kwa kupata hiyo kitu.
Nakumbuka nlifiwa na my cousin wa karibu sana.siku hiyo nilipewa taarifa nikahuzunika sana kiasi cha kutokwa machozi nikaomba mzigo akanipa nikawa nakula huku nabubujikwa na machozi for my cousin. Leo naomba nanyimwa na kusimangwa.meniumiza sana.
Nikiwa natafakari ikaingia text toka kwa mchepuko "babe najua una huzuni sana. Njoo leo sitoenda kazini. Njoo nikufariji babe wangu njoo nikupe chochote utakacho"
Wadau hebu nambieni hapo mimi nafanyeje?na huyu mchepuko ni muda nlikuwa nmejitenga naye ili nitulie na mke. Sasa hii hali inanipa changamoto sana. Wake mnashindwaje kutumia nafasi mbalimbali kuonesha mahaba? Yeye mke anadai tukae tu home....sasa tukae tunaangaliana tu IS IT POSSIBLE? when THINGS FALL APART , ITS NOT EASY to just sit and relax. Lazima kifanyike kitu.
Nishamwambia naenda Ofisini then baadaye ntarudi. Kuna meeting ya dharura ntawahi kurudi. Wake mjifunze kuwa na ubunifu.
Ishamtokea mmoja kama wewe kutaka taka vya bureKwani imeshakukuta hiyo?
Ebwana eeh kwahiyo ukafanyaje sasa?Ishamtokea mmoja kama wewe kutaka taka vya bure
Usiwe na hamaki bali tafakari, ukiachia mbali mchepuko, huyo mwanamke hampendi huyo Jamaa na hayuko loyal kwa Jamaa, bali yuko hapo kwa sababu anazozijua mwenye, ndio maana anaweza kuwa na feeling kwa mtu ambaye huenda hajawahi kumwona karibu na kuacha kufikiria mtu muhimu sana ktk maisha yake na yuko karibu naye.Ukiwa na akili ndogo lazima tu hisia za mapenzi zikupeperushe. Usipoenda kwa huyo mchepuko ukafanya uchafu wako utakufa? Nenda tu maana unafanya juu ya mwili wako jmna sio mkeo
Ndugu upo kama mimi kasoro hapo kwenye mchepuko. Binafsi sina mchepuko.Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni.
Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife mnyonge anatokwa tu na machozi na kamasi. Kumuuliza akanambia kuna msiba. Nlishtuka,nikaruka kitandani kukaa na kumuuliza nani tena kafariki. Akanijibu "Rais amefariki"
Nikashusha pumzi na kumshika begani nikitaka atulie kwa kuwa tu nlijua alichelewa pata Taarifa.haya niliyasema moyoni.
Asubuhi nikaamka na kuomba tendo la ndoa. Akanikatilia kabisa akidai naweza mwomba tendo hilo na Nchi inaomboleza. Akaenda mbali na kusema mimi sina Utu. Amenisema sana.
Nmeumia sababu kila mtu ana namna yake ya kudeal na huzuni. Si lazima zifanane. Mimi nikiwa na huzuni napenda kufarijika kwa kupata hiyo kitu.
Nakumbuka nlifiwa na my cousin wa karibu sana.siku hiyo nilipewa taarifa nikahuzunika sana kiasi cha kutokwa machozi nikaomba mzigo akanipa nikawa nakula huku nabubujikwa na machozi for my cousin. Leo naomba nanyimwa na kusimangwa.meniumiza sana.
Nikiwa natafakari ikaingia text toka kwa mchepuko "babe najua una huzuni sana. Njoo leo sitoenda kazini. Njoo nikufariji babe wangu njoo nikupe chochote utakacho"
Wadau hebu nambieni hapo mimi nafanyeje?na huyu mchepuko ni muda nlikuwa nmejitenga naye ili nitulie na mke. Sasa hii hali inanipa changamoto sana. Wake mnashindwaje kutumia nafasi mbalimbali kuonesha mahaba? Yeye mke anadai tukae tu home....sasa tukae tunaangaliana tu IS IT POSSIBLE? when THINGS FALL APART , ITS NOT EASY to just sit and relax. Lazima kifanyike kitu.
Nishamwambia naenda Ofisini then baadaye ntarudi. Kuna meeting ya dharura ntawahi kurudi. Wake mjifunze kuwa na ubunifu.
Mtu anaendapewa SAMVU LA KOPOChochote Kama nakiona kisamvu kilichoungwa kikaungika kale komeo la chuma
Jamaa alikua anapiga uku analia kimoyo moyo Hiiii hihiiiiiiiiii hihiiiiiiiiiiii binamu yangu kaniacha na machozi yanatoka live [emoji24][emoji24][emoji24]Nikawa nakula huku nabubujikwa na machozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani acha tu, kutenda dhambi imekuwa fashion siku hizi.Ukiwa na akili ndogo lazima tu hisia za mapenzi zikupeperushe. Usipoenda kwa huyo mchepuko ukafanya uchafu wako utakufa? Nenda tu maana unafanya juu ya mwili wako jmna sio mkeo