Nimeona tofauti ya mke na mchepuko. Nimesikitika sana

Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni.

Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife mnyonge anatokwa tu na machozi na kamasi. Kumuuliza akanambia kuna msiba. Nlishtuka,nikaruka kitandani kukaa na kumuuliza nani tena kafariki. Akanijibu "Rais amefariki"

Nikashusha pumzi na kumshika begani nikitaka atulie kwa kuwa tu nlijua alichelewa pata Taarifa.haya niliyasema moyoni.

Asubuhi nikaamka na kuomba tendo la ndoa. Akanikatilia kabisa akidai naweza mwomba tendo hilo na nchi inaomboleza. Akaenda mbali na kusema mimi sina Utu. Amenisema sana.

Nimeumia sababu kila mtu ana namna yake ya kudeal na huzuni. Si lazima zifanane. Mimi nikiwa na huzuni napenda kufarijika kwa kupata hiyo kitu.

Nakumbuka nlifiwa na my cousin wa karibu sana, siku hiyo nilipewa taarifa nikahuzunika sana kiasi cha kutokwa machozi nikaomba mzigo akanipa nikawa nakula huku nabubujikwa na machozi for my cousin. Leo naomba nanyimwa na kusimangwa imeniumiza sana.

Nikiwa natafakari ikaingia text toka kwa mchepuko "babe najua una huzuni sana. Njoo leo sitoenda kazini. Njoo nikufariji babe wangu njoo nikupe chochote utakacho"

Wadau hebu nambieni hapo mimi nafanyeje? Na huyu mchepuko ni muda nilikuwa nimejitenga naye ili nitulie na mke. Sasa hii hali inanipa changamoto sana. Wake mnashindwaje kutumia nafasi mbalimbali kuonesha mahaba? Yeye mke anadai tukae tu home....sasa tukae tunaangaliana tu IS IT POSSIBLE? when THINGS FALL APART , ITS NOT EASY to just sit and relax. Lazima kifanyike kitu.

Nishamwambia naenda Ofisini then baadaye nitarudi. Kuna meeting ya dharura nitawahi kurudi. Wake mjifunze kuwa na ubunifu.
Kukosa siku moja tu!
 
hahahaa nimecheka mkuu nenda kaichakate hiyo mbususu bana utulize roho
 
Hicho chochote utakacho Ni nini? Na kumbe huwa unatumiaga hiyo kitu
 
Huyo mchepuko anae TOA CHOCHOTE baada ya miez sita kunamuhanga anajitokeza ili awe mke

wale walioamua kuto kuoa wasibezwe
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila jf watu hamnazo [emoji119][emoji119]
 
Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni.

Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife mnyonge anatokwa tu na machozi na kamasi. Kumuuliza akanambia kuna msiba. Nlishtuka,nikaruka kitandani kukaa na kumuuliza nani tena kafariki. Akanijibu "Rais amefariki"

Nikashusha pumzi na kumshika begani nikitaka atulie kwa kuwa tu nlijua alichelewa pata Taarifa.haya niliyasema moyoni.

Asubuhi nikaamka na kuomba tendo la ndoa. Akanikatilia kabisa akidai naweza mwomba tendo hilo na nchi inaomboleza. Akaenda mbali na kusema mimi sina Utu. Amenisema sana.

Nimeumia sababu kila mtu ana namna yake ya kudeal na huzuni. Si lazima zifanane. Mimi nikiwa na huzuni napenda kufarijika kwa kupata hiyo kitu.

Nakumbuka nlifiwa na my cousin wa karibu sana, siku hiyo nilipewa taarifa nikahuzunika sana kiasi cha kutokwa machozi nikaomba mzigo akanipa nikawa nakula huku nabubujikwa na machozi for my cousin. Leo naomba nanyimwa na kusimangwa imeniumiza sana.

Nikiwa natafakari ikaingia text toka kwa mchepuko "babe najua una huzuni sana. Njoo leo sitoenda kazini. Njoo nikufariji babe wangu njoo nikupe chochote utakacho"

Wadau hebu nambieni hapo mimi nafanyeje? Na huyu mchepuko ni muda nilikuwa nimejitenga naye ili nitulie na mke. Sasa hii hali inanipa changamoto sana. Wake mnashindwaje kutumia nafasi mbalimbali kuonesha mahaba? Yeye mke anadai tukae tu home....sasa tukae tunaangaliana tu IS IT POSSIBLE? when THINGS FALL APART , ITS NOT EASY to just sit and relax. Lazima kifanyike kitu.

Nishamwambia naenda Ofisini then baadaye nitarudi. Kuna meeting ya dharura nitawahi kurudi. Wake mjifunze kuwa na ubunifu.
Duuh
 
Back
Top Bottom