Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni.
Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife mnyonge anatokwa tu na machozi na kamasi. Kumuuliza akanambia kuna msiba. Nlishtuka,nikaruka kitandani kukaa na kumuuliza nani tena kafariki. Akanijibu "Rais amefariki"
Nikashusha pumzi na kumshika begani nikitaka atulie kwa kuwa tu nlijua alichelewa pata Taarifa.haya niliyasema moyoni.
Asubuhi nikaamka na kuomba tendo la ndoa. Akanikatilia kabisa akidai naweza mwomba tendo hilo na Nchi inaomboleza. Akaenda mbali na kusema mimi sina Utu. Amenisema sana.
Nmeumia sababu kila mtu ana namna yake ya kudeal na huzuni. Si lazima zifanane. Mimi nikiwa na huzuni napenda kufarijika kwa kupata hiyo kitu.
Nakumbuka nlifiwa na my cousin wa karibu sana.siku hiyo nilipewa taarifa nikahuzunika sana kiasi cha kutokwa machozi nikaomba mzigo akanipa nikawa nakula huku nabubujikwa na machozi for my cousin. Leo naomba nanyimwa na kusimangwa.meniumiza sana.
Nikiwa natafakari ikaingia text toka kwa mchepuko "babe najua una huzuni sana. Njoo leo sitoenda kazini. Njoo nikufariji babe wangu njoo nikupe chochote utakacho"
Wadau hebu nambieni hapo mimi nafanyeje?na huyu mchepuko ni muda nlikuwa nmejitenga naye ili nitulie na mke. Sasa hii hali inanipa changamoto sana. Wake mnashindwaje kutumia nafasi mbalimbali kuonesha mahaba? Yeye mke anadai tukae tu home....sasa tukae tunaangaliana tu IS IT POSSIBLE? when THINGS FALL APART , ITS NOT EASY to just sit and relax. Lazima kifanyike kitu.
Nishamwambia naenda Ofisini then baadaye ntarudi. Kuna meeting ya dharura ntawahi kurudi. Wake mjifunze kuwa na ubunifu.
Ndugu upo kama mimi kasoro hapo kwenye mchepuko. Binafsi sina mchepuko.
Mimi hupenda kufarijika wakati wa huzuni kwa kula mbususu.
Ilinitokea nilipata msiba wa nduu3wa karibu kwenye kunifariji nikala mbususu nadhani akajua kuwa napenda game ili kupata confidence kwenye huzuni.
Siku nyingine akapata yeye msiba mkubwa. Nilikuwa namuona hata huko kwao msibani akihangaika kutafuta namna ya kunitunuku lakini tulikwama.
Siku tumerejea kutoka msibani, tulikulana mara tu baada ya kuingia mlangoni.
Ananiambia 'nilikutesa sana mume wangu'.
Sasa usiku wa kuamkia leo, amelia sana kusikia JPM katwaliwa. Nimefanya kazi ya kubembeleza utafikiri ni msiba wa familia.
Nikajua nitapewa mbususu bana weeee.....sikupewa na asubuhi kajiweka busy mpaka anaenda kazini huyoooo.
Nikajua ni kwa sababu sikuonyesha huzuni kuhusu huu msiba so amehisi sijahuzunika na kwahiyo sitohitaji mbususu.
Baada ya kupata taarifa za msiba niliwasha luninga na nikawa busy kumbembeleza huku naperuzi mitandaoni kupata habari mbalimbali juu ya huu msiba.
Nadhani aliona nimejikita zaidi kwenye habari na hivyo sina huzuni.
Kumbe this time nimehuzunika kimyakimya.
Imeniuma sana kuikos mbususu ya wife leo.