Nimeona tofauti ya mke na mchepuko. Nimesikitika sana

Kukosa siku moja tu!
 
hahahaa nimecheka mkuu nenda kaichakate hiyo mbususu bana utulize roho
 
Hicho chochote utakacho Ni nini? Na kumbe huwa unatumiaga hiyo kitu
 
Huyo mchepuko anae TOA CHOCHOTE baada ya miez sita kunamuhanga anajitokeza ili awe mke

wale walioamua kuto kuoa wasibezwe
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila jf watu hamnazo [emoji119][emoji119]
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…